Nimeshindwa kuvumilia, nimetembea na mke wa rafiki yangu

Habari ya muda huu!

Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF.

Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi.

Yule dada namfahamu, lakin sikuwa na mazoea nae. ila siku moja alitafuta namba yangu ya simu na kuntafuta. Alikuja na gea ya kwamba yeye ni mwanamke kutoka sehemu flan ya mbali kdg na hapa nilipo ila kutokana na harakat zangu anananfahamu na aliendelea kudai kuwa AMENIPENDA tuwe wapenz.

Mwanzo nlichukulia poa na kudhan kuwa ni mtu tu anataka kunchanganya.

Kadri mazungumzo yalipozidi kuendelea dada yule mwenye watoto 3 aliendelea kuthibitisha kuwa ananpenda ijapokuwa ameolewa.

Baadae alipiga cm na kumsikia saut yake na kweli ilikuwa ni ya mwanamke.

Kutokana na ukamilifu wa uwanaume wangu nikaona mimi ninani mpaka nikatae mtongozo wa mtoto mzuri? NIKAKUbali

Siku nakutana nae kumbe n mke wa jamaangu. Dah? Nlishangaa sana na alisema lait ningekwambia kabla usngekubali

Kwakweli nkapita nae na mpaka sasa AMEKOLEA.

MSAADA TAFADHALI
huu ni uongo usiokuwa na maana
 
1000428220.jpg
 
Yule dada namfahamu, lakini sikuwa na mazoea nae. ila siku moja alitafuta namba yangu ya simu na kuntafuta. Alikuja na gea ya kwamba yeye ni mwanamke kutoka sehemu flan ya mbali kdg na hapa nilipo ila kutokana na harakat zangu anananfahamu na aliendelea kudai kuwa AMENIPENDA tuwe wapenz.

Mwanzo nlichukulia poa na kudhan kuwa ni mtu tu anataka kunchanganya.

Kadri mazungumzo yalipozidi kuendelea dada yule mwenye watoto 3 aliendelea kuthibitisha kuwa ananpenda ijapokuwa ameolewa.

Baadae alipiga simu na kumsikia sauti yake na kweli ilikuwa ni ya mwanamke.

Kutokana na ukamilifu wa uwanaume wangu nikaona mimi ni nani mpaka nikatae mtongozo wa mtoto mzuri? Nikakubali

Siku nakutana nae kumbe ni mke wa jamaangu. Dah? Nlishangaa sana na alisema laiti ningekwambia kabla usingekubali

Kwakweli nkapita nae na mpaka sasa AMEKOLEA.

MSAADA TAFADHALI
Kama hawa ndo watanzania CCM itatawala miaka nenda rudi
 
Back
Top Bottom