Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

Mtoa mada umechoka kulipia uchakavu?
 
Fanya kile ambacho unakiweza na kipo ndani ya uwezo wako
Kutaka demu mzuri wakati una pesa ya mawazo uache

hapa mkuu nimekupata, lakini unamanisha kila demu mzuri kama sina uwezo mkubwa nisijalibu kabisa.?
 
mi nazani wanawake wote wapo sawa katika pesa, hata nikitafuta wa saizi yangu naye atataka kuwa juu.!

hahaha nani kakudanganya hata kama atataka kuwa juu utammudu tu haitakuwa sawa na yule ambae umemkuta juu tayari
 
Wa ndani ana heshima yake wewe!! Acheni uzinzi

Twende kwnye uhalisia huyo wa ndan anayetaka umpe hela nyingi kila siku, bado kuna uwezekano wa kukusaliti na huyu wa elfu tano au kumi ambaye anakupa vitu adimu bila stress nani bora?

Hiyo heshima ya ndan ya kugharamia maelfu ya pesa na stress juu siiwezi
 
Watu wenye visu vyenye makali ndo wanaokula nyama
kama kisu chako butu, bora tu upaki pembeni kuepusha jam....

Wanawake wa JF sawa na kinyonga leo wote mnajifanya pesa kwanza, hahaaa! Ndo maana mnasababisha vijana watafute dawa za kuongeza urefu migegedo yao ili waoneshe pesa yao itumike kihalali!
 
pole sana, ukiona unashindwa kuhonga nenda kanunue maana hawana gharama wale...
mkuu hii kitu mie nimefanya na nimegundua kuwa hakuna tofauti coz ukienda kununua bei ya chini ni buku10 hapo ni pamoja na guest then lets say una nunua kwa wiki mara3 je hiyo si tayari laki 1.2 kwa mwezi? sasa hiyo si unaweza kuhonga ic? hapo hakuna tofauti all have same cost tu mkuu so ni kujipanga tu ukiwa unatumia sopa kupunguza mzuka...
 
Wewe acha kwanza uzinzi na wao wataacha tu

"Usilipenda kutendewa usiwatendee wengine"

acha ujinga mpuuzi wewe..sasa hapo kwan jamaa kamtendea nini mwenzake zaidi ya kudai vibom vimezidi?usijiandikie vitu ili mladi umejibu.hovyo..loading error...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…