Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

mbona wengine tuna wazuri na hawapendi pesaaa?

Kakudanganya nani watu wanapenda pesa na ndo mana tunahangaika na kazi
Yawezekana hajakuomba kwa maana anaweza kujimudu kwenye mahitaj yake
 
huku uswahilin kwetu utawaskia "siku hizi hakuna ***a ya bure" haha
Ndo mana tunawamega na kuwaacha! :lol:
 
hapa mkuu nimekupata, lakini unamanisha kila demu mzuri kama sina uwezo mkubwa nisijalibu kabisa.?
Elewa kuwa mwanamke ana gharama za kutengeneza urembo wake ...je siku akipungukiwa na pesa akikuomba Mara kadhaa na humpi huoni kama huyo mwanamke sii muelewa na hajakupenda the way u ar possibility ya kuachwa ni kubwa.penda mwanamke wa type yako kuepusha mawazo yasiyo ya lazima
 
nadhani mbio hazitoshi embu ongeza mbio.... utaki kuhudumia ndo nini.. ukitaka utamu bwana we gharamikia tu mkuu usiogope
 

ye uwezo wake chipsi mayai anaenda tongoza demu anayekula pizza lazima akome aisee
 
Kakudanganya nani watu wanapenda pesa na ndo mana tunahangaika na kazi
Yawezekana hajakuomba kwa maana anaweza kujimudu kwenye mahitaj yake

Yap....u r ryt kabisa. But kwa nini mwanamke awe ombaomba kila day mizinga!!!! Uzuri isiwe sababu ya mtu kuwa mpiga mizinga na ndo maana mademu wengi wazuri wanaopendapenda hela huishia kumegwa na kuachwa coz maisha yenyewe ya mtanzania bajeti inakaba.
 
Walisema 'Ukiwa huna hela mademu wote wazuri utabaki unawaita shemeji tu' maana watakula wengine!!
 
Wanawake wa JF sawa na kinyonga leo wote mnajifanya pesa kwanza, hahaaa! Ndo maana mnasababisha vijana watafute dawa za kuongeza urefu migegedo yao ili waoneshe pesa yao itumike kihalali!
Wanajidanganya tu na wao wanaongeza urefu wakati nguvu zenyewe za tabu
wakwende zao
 
kuhudumia sawa, lakina isiwe too much...
 

Mwanamke sawa na gari
Anahitaj service ...shell ...garage nk
Unataka akuombe pesa baada ya mda gan while kila siku anakula..anavaa...salon...urembo...simu nk be serious even a lito bit !!!!!!!"
 
Fanya kile ambacho unakiweza na kipo ndani ya uwezo wako
Kutaka demu mzuri wakati una pesa ya mawazo uache

Kuna ujumbe mzito hapo. Bila pesa mademu wazuri wote wataishia kuwa mashemeji!! Dunia mbaya hii. Pesa ya mawazo, unapanga havipangiki duh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…