Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

Wenzio kutongoza tuu wanahonga benzi......Angalia wa size yako...tatizo wewe inaonekana unajifanya wa matawi kumbe huna uwezo nayo
 
Watu wenye visu vyenye makali ndo wanaokula nyama
kama kisu chako butu, bora tu upaki pembeni kuepusha jam....
Siyo mapenzi hata urafiki. Kama unabwia lazima rafiki yako awe ni mbwia na me na ke lazima kuwepo kiunganishi ambacho ni pesa na k. Ndiyo maana mwenzenu niliamua kuepusha jam... maana ngawila ni kikwazo kikubwa kwangu. Nasubiri nifikishe angalau miaka 30, pengine nitakuwa na pesa.
 
Ukinunua utatoa 30 na zaidi tena hao ni wale wachafu chafu, Guest utalipia pengine na kuibiwa ukikaa vibaya unaibiwa au unapewa madawa.. Wa high class ukinunua utalipa balaa.. haya unataka udunge kwa wiki mara 2 ...UTAWEZA?

So hujakimbia...




pole sana, ukiona unashindwa kuhonga nenda kanunue maana hawana gharama wale...
 
Umesema ni wajibu wako then too much......!! I'm missing the point somewhere.
Wajibu can never be too much, inabidi uutekeleze Labda kama sikukuelewa
What is too much? Labda tuanzie hapa....
 
najipanga, nimejufunza ''bila pesa, no mapenzi''

mkuu ata mimi kuna kipanga mmoja nimekutana nae hatuna ata miezi miwili ila hiyo mizinga nnayopigwa muda siyo mwingi itaniua.
 
Ndio ukome kuparami wakat huna uwezo... Ukitaka kuwafaidi wanawake bila gharama kuwa muongo na mwenye sura ya upole a.k.a somjo a.k.a tapeli hapo utawamaliza watakukimbia na watakukimbilia

That is my technic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…