Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Dini ni nini?
Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha.
Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu, utii, au njia ya malipo na maisha.
Vipengele Vikuu vya Dini
• Imani: Kuamini uwepo wa Muumba (Mungu), malaika, vitabu vitakatifu, au nguvu fulani kuu zinazotawala ulimwengu.
• Ibada na Desturi: Taratibu za kusali, kutoa shukrani, na kutenda mema kulingana na mafundisho ya dini husika.
• Maadili na Sheria: Kanuni zinazofundisha namna ya kuishi na watu wengine katika jamii kwa amani na haki.

Kwanini Ukrisro ni dini bora zaidi?

"Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa."



Mambo Makuu Mawili Katika Mstari Huu:


  • Upendo kwa Vitendo: Kuwasaidia watu walio katika mazingira magumu na wasio na watetezi (kama yatima na wajane) katika shida zao.
  • Utakatifu wa Maisha: Kujilinda na tabia, mienendo, au mifumo mibaya ya ulimwengu ili kubaki na maisha safi ya kiroho na kimaadili.
Mstari huu unahitimisha hoja ya mtume Yakobo katika sura hiyo ya kwanza, ambapo anahimiza Wakristo kuwa "watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu."

Waislam wanatibiwa hospitali za Wakristo, KCMC, BUGANDO, Kauruki etc kwa gharama ndogo sana ukilnganisha na Aga Khan au Hindu Mandal . Waislam hawahitaji kuwa na hospitali, lakini wanajazana Bugando na si Aga Khan wala Hindu Mandal.

Vyuo vikuu leo vingi ni vya kanisa na havina ubaguzi
 
Sawa
downloadfile-10.png
 
Dini zinazaliwa, zinakua na zinakufa kwasababu za kiutawala, mabadiliko ya kijaamii na maarifa ya kisayansi.

Miaka 5,000 iliyopita hakukuwa na uislamu wala ukristo.

Hakuna dini bora, dini ni chombo tu, mwanadamu ndiye bora.

Inashangaza sana tunavyoishi hivi vimiaka vyetu 70, ambavyo ni sekunde tu ukilinganisha na historia ya takribani miaka 300,000 ya mwanadamu wa sasa, halafu tunajiona wa pekee sana.
 
Back
Top Bottom