Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

Dini ni nini?
Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha.
Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu, utii, au njia ya malipo na maisha.
Vipengele Vikuu vya Dini
• Imani: Kuamini uwepo wa Muumba (Mungu), malaika, vitabu vitakatifu, au nguvu fulani kuu zinazotawala ulimwengu.
• Ibada na Desturi: Taratibu za kusali, kutoa shukrani, na kutenda mema kulingana na mafundisho ya dini husika.
• Maadili na Sheria: Kanuni zinazofundisha namna ya kuishi na watu wengine katika jamii kwa amani na haki.

Kwanini Ukrisro ni dini bora zaidi?

"Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa."

Mambo Makuu Mawili Katika Mstari Huu:

  • Upendo kwa Vitendo: Kuwasaidia watu walio katika mazingira magumu na wasio na watetezi (kama yatima na wajane) katika shida zao.
  • Utakatifu wa Maisha: Kujilinda na tabia, mienendo, au mifumo mibaya ya ulimwengu ili kubaki na maisha safi ya kiroho na kimaadili.
Mstari huu unahitimisha hoja ya mtume Yakobo katika sura hiyo ya kwanza, ambapo anahimiza Wakristo kuwa "watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu."

Waislam wanatibiwa hospitali za Wakristo, KCMC, BUGANDO, Kauruki etc kwa gharama ndogo sana ukilnganisha na Aga Khan au Hindu Mandal . Waislam hawahitaji kuwa na hospitali, lakini wanajazana Bugando na si Aga Khan wala Hindu Mandal.

Vyuo vikuu leo vingi ni vya kanisa na havina ubaguzi
Ukristo unasisitiza utapeli ila Kwa maadili Bora waislamu.

Hao wabudha wa Dalai Kama wako vizuri sana hawana tofauti na zile dini zetu za asili za kiafrika
 
Dini zote ni nzuri, changamoto ni imani ambayo ni mtu binafsi na matendo yake.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Kuna nchi zaidi ya 54 za kiislamu zinazotumia Sharia Law lakini hakuna wanachotengeneza duniani zaidi ya kutengeneza dini kwahiyo usishangae kuona hawana hata hospital moja Tanzania maana wana Low IQ.
Waislamu wapo radhi wajenge misikiti elfu 60 kuliko kujenga hospital moja tu😄😄😄
Dini ni nini?
Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha.
Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu, utii, au njia ya malipo na maisha.
Vipengele Vikuu vya Dini
• Imani: Kuamini uwepo wa Muumba (Mungu), malaika, vitabu vitakatifu, au nguvu fulani kuu zinazotawala ulimwengu.
• Ibada na Desturi: Taratibu za kusali, kutoa shukrani, na kutenda mema kulingana na mafundisho ya dini husika.
• Maadili na Sheria: Kanuni zinazofundisha namna ya kuishi na watu wengine katika jamii kwa amani na haki.

Kwanini Ukrisro ni dini bora zaidi?

"Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa."

Mambo Makuu Mawili Katika Mstari Huu:

  • Upendo kwa Vitendo: Kuwasaidia watu walio katika mazingira magumu na wasio na watetezi (kama yatima na wajane) katika shida zao.
  • Utakatifu wa Maisha: Kujilinda na tabia, mienendo, au mifumo mibaya ya ulimwengu ili kubaki na maisha safi ya kiroho na kimaadili.
Mstari huu unahitimisha hoja ya mtume Yakobo katika sura hiyo ya kwanza, ambapo anahimiza Wakristo kuwa "watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu."

Waislam wanatibiwa hospitali za Wakristo, KCMC, BUGANDO, Kauruki etc kwa gharama ndogo sana ukilnganisha na Aga Khan au Hindu Mandal . Waislam hawahitaji kuwa na hospitali, lakini wanajazana Bugando na si Aga Khan wala Hindu Mandal.

Vyuo vikuu leo vingi ni vya kanisa na havina ubaguzi
 
Ukristo unasisitiza utapeli ila Kwa maadili Bora waislamu.

Hao wabudha wa Dalai Kama wako vizuri sana hawana tofauti na zile dini zetu za asili za kiafrika
Umenifanya nicheke sana😄😄😄😄 watu wenye hawana hata hospital moja Tanzania wanakuambia wao wanamaadili😄😄😄

Ukienda kwenye misikiti utakuta mabinti wa kiislamu wamevaa hijabu wameachq macho tu lakini hawajaolewa ila hawana bikra sijui hayo maadili yapo wapi😄😄😄

Nchi za kiislamu leo ni vita, wanapigana na kuuana kama Libya, Saudia Arabia, Afghanistan, Iraq, Sudan, Lebanon, Somalia n.k kwa ujinga watakuambia ni Israel na Marekani ila kwenye kuchinja mifugo wa kwanza.

Tena wanasisitiza msile vyakula vinavyopikwa kipindi cha Christmas na Pasaka na hawali ila utasikia hao wakristo ndiyo wanaunda vikundi vya kigaidi kwenye nchi za kiislamu wakati hakuna hata makanisa huko.

Huko Afghanistan watoto wenye umri wa miaka 9 wanaolewa hovyo.
 
Back
Top Bottom