Nimeshtuka kuona hii Picha

Huenda sikuelewi ila nakuambia; Kuna vitu vya kuiga lakini vingine, hebu tutulie kidogo. Je, jamaa ana dadake? Wote wakienda kusuka mtindo huo huo, utawatofautisha?? Hapo aliposuka tuseme ki kwako ameongezea nini katika usanii wake??
 
Wamasai wanaosuka unawatofautishaje?
 
Tangu lini dar kukawa na wanaume?
 
Wasanii wa kwanza ulio wataja wote ni kutoka america. Tamadun za kule ni tofauti na za huku.
Hata kama walifanya hivyo basi walimake sure uanaume wao unabaki. Bado walibaki hip hop ngumu..

Hawa wa bongo wanaiga kila kitu halaf wabahama kutoka kwenye misingi yao.
 
Unajua nas wakati anautunga huu wimbo alikuwa kwenye kipindi gani?
 
Baba yako amesuka nini?
 
Tamaduni za kule tofauti na huku?

Wamasai hawasuki? Wapo Marekani?

Hip hop ngumu?

R Kelly? Usher? Elton John walifanya hip hop wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…