Nimeshtuka kuona hii Picha

Unajua nas wakati anautunga huu wimbo alikuwa kwenye kipindi gani?
Dedication ipo clear.

Chukia.

Ila hawaachi.

Chukia.

Wataendelea kutafuta mkwanja.

Kama kweli ni mfuatiliaji wa muziki msanii kusuka isingetakiwa kukushtua.

Haya Bob Marley pia alifuga rasta. Yeye na Blondy
 
Wamasai hamuwashangai mnamshangaa Young darisalama,
guys huyo ni msanii ndio kazi yake ina mshape awe hivyo tusipende kucomplicate kila kitu, relax, be happy mbona utachelewa kuzeeka.

Lol.
 
Wamasai hamuwashangai mnamshangaa Young darisalama,
guys huyo ni msanii ndio kazi yake ina mshape awe hivyo tusipende kucomplicate kila kitu, relax, be happy mbona utachelewa kuzeeka.

Lol.
kuna watu wanashangaza sana humu ndani...

Alafu si kwamba ni washamba...ila ni wanajivisha upopoma..
 
Ngada sio nzuri, gari ishawaka hiyo kashakuwa ndigiri tayari
 
Tamaduni za kule tofauti na huku?

Wamasai hawasuki? Wapo Marekani?

Hip hop ngumu?

R Kelly? Usher? Elton John walifanya hip hop wapi?
Yes tamaduni zao ni za tofauti. Huwez ukaniambia utamaduni wa watu wa america ni sawa na waafrika hasa wabongo. No vitu viwili tofauti.
Kuhigh light umetolea mfano kabila la wamasai? Je unajua asili ya wamasai wametokea wapi?
Wametokea sudan na sababu ni nomadic tribe walikuwa wakihama kutafuta chakula cha mifugo mpaka wakatoboa tz.

je makabila halisi ya tz ambao yanatoboa sikio ni yapi?
 


Wagogo na wazaramo wanaume walikuwa wanatoga masikio, Na huo ni mfano tu.
Anyway, utamaduni ni mfumo wa maisha katika jamii. Utamaduni unabadirika kutokana na wakati. Sometimes, influence kutoka nje ya jamii inachangia mabadiliko katika jamii, ndio maana leo tunavaa suti, kwanini tusiendelee kuvaa magome ya miti? Ndio maana leo kitendo cha kutahiri wanawake kimepigwa marufuku.
Halafu ukiwakataa wamasai sio watu wa jamii yetu unachemka. Makabila mengi yalitoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa sababu tofauti. Ukiwakataa wamasai uwakatae na wangoni na makabila mengine mengi
 
Anguko la wanadamu....

Tulikofikia sasa::
#msuko wa kike Na kiume
#Hereni za kike Na kiume
#vikuku vya kike Na kiume
#Bangiri za kike Na kiume
#Kipini cha kike Na kiume

Naskia kuna wigi pia
Hatutashangaa kuskia pia kuna pedi za kiume na wale waendao watavaa.
ACHA NI NIBAKI KUWA MSHAMBA KWA KUTOSHOBOKEA UPUUZI HUU NA WENGI WAO NDO WANADONDOKEA KUWA SIO RIZIKI.
 
Ungemalizia na maswali yote ya kunielewesha Usher, R Kelly na Elton walipofanyia Hip Hop.

Haya umesema masai ni nomadic hilo ni kweli. Ila hakuna kabila Tz ambalo lilitokea hapa hapa yote yalitoka kwa kuhama kutoka eneo fulani, mfano wangoni na Ngoni Movement.

Kama wamarekani weusi kusuka ni utamaduni wao asili ya mmarekani mweusi siyo Afrika?

Kama asili ya mmarekani mweusini Afrika nikisema wao ndiyo wameiga nitakua nimekosea?
 
Naona kawaida ni maisha yake sio yenu fanyeni yenu sio watu waishi mnavyotaka nyie hamuwalishi hamuwavishi .
kha punguzeni viherehere
 
Hivi kuna msuko wa kike na wa kiume siku hizi. Jamani usukuma huu wacha nijirudie zangu MMU..
 
Huyo ni msemaji wa wanaume wa dar es salaam (WAWADA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…