Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dedication ipo clear.Unajua nas wakati anautunga huu wimbo alikuwa kwenye kipindi gani?
kuna watu wanashangaza sana humu ndani...Wamasai hamuwashangai mnamshangaa Young darisalama,
guys huyo ni msanii ndio kazi yake ina mshape awe hivyo tusipende kucomplicate kila kitu, relax, be happy mbona utachelewa kuzeeka.
Lol.
Make up kapakayoung dada
sikio katoga
jicho karembua
nywele kasuka
unataka nini tena?
hahaaaaa " nilidhani hivyo pia " daaah una jicho la mwewe mkuu"mhn! kama inafanana na mkuu wa wilaya sehemu fulani lakini sio yeye(katika ujana wake)
Yes tamaduni zao ni za tofauti. Huwez ukaniambia utamaduni wa watu wa america ni sawa na waafrika hasa wabongo. No vitu viwili tofauti.Tamaduni za kule tofauti na huku?
Wamasai hawasuki? Wapo Marekani?
Hip hop ngumu?
R Kelly? Usher? Elton John walifanya hip hop wapi?
Yes tamaduni zao ni za tofauti. Huwez ukaniambia utamaduni wa watu wa america ni sawa na waafrika hasa wabongo. No vitu viwili tofauti.
Kuhigh light umetolea mfano kabila la wamasai? Je unajua asili ya wamasai wametokea wapi?
Wametokea sudan na sababu ni nomadic tribe walikuwa wakihama kutafuta chakula cha mifugo mpaka wakatoboa tz.
je makabila halisi ya tz ambao yanatoboa sikio ni yapi?
Anguko la wanadamu....Ulimwengu wa Mitindo na mavazi umetamalaki sana siku za hivi usoni, Muda mwingine ukitaka kununua Nguo lazima uikague sana usije ukavaa ya kike ile hali wewe ni Mwanaume.
Katika pitapita zangu leo naifumania hii Picha ya Young Dee nimejikuta napatwa na dukuduku kwa mtindo wake wa Nywele.
Huo Msuko sio wa Kike! View attachment 832690
Ungemalizia na maswali yote ya kunielewesha Usher, R Kelly na Elton walipofanyia Hip Hop.Yes tamaduni zao ni za tofauti. Huwez ukaniambia utamaduni wa watu wa america ni sawa na waafrika hasa wabongo. No vitu viwili tofauti.
Kuhigh light umetolea mfano kabila la wamasai? Je unajua asili ya wamasai wametokea wapi?
Wametokea sudan na sababu ni nomadic tribe walikuwa wakihama kutafuta chakula cha mifugo mpaka wakatoboa tz.
je makabila halisi ya tz ambao yanatoboa sikio ni yapi?
Teh teh umenivunja mbavu sana teh tehAnaona wanawake wanafaidi.
Hivi kuna msuko wa kike na wa kiume siku hizi. Jamani usukuma huu wacha nijirudie zangu MMU..Ulimwengu wa Mitindo na mavazi umetamalaki sana siku za hivi usoni, Muda mwingine ukitaka kununua Nguo lazima uikague sana usije ukavaa ya kike ile hali wewe ni Mwanaume.
Katika pitapita zangu leo naifumania hii Picha ya Young Dee nimejikuta napatwa na dukuduku kwa mtindo wake wa Nywele.
Huo Msuko sio wa Kike! View attachment 832690
Jichoyoung dada
sikio katoga
jicho karembua
nywele kasuka
unataka nini tena?