Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
 
Sio propaganda za CCM ila JUA CCM kabla Magufuli hajawa chairman ndo ile ulikuwa ukipita mtaani shati lako la CCM unazomewa ila kiutendaji Magu alikuwa Vizuri na ndio maana sasahivi CCM wanapita na mashati yao huku hawana ata kiwewe cha kuzomewa.
 
Angalia walichofanya uingereza sasa hivi baada ya corona kuwanyanyasa sana!

Hatua hii waliyoichukua uingereza yeye Magu aliiona tangu corona inaingia.

Sasa raia za huko zikiona hali hii lazima zimkumbuke Magu
 
Hata hapa Bongo, Majolity Wanamkubali Magu.Ni Kikundi Kidogo Mno Cha Saccos mitaa Ya Togo/Ufipa Ndo Kinakazana Kumchafua....!! Mbona Ma Jah Pipo Jamaica Waliandamana Kama Machinga Walivyofanya Bongo? Africa Magharibi wako Sahihi.
 
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
Isijekuwa umeangalia YouTubers halafu unasema raia wengi wa Africa Magharibi.
 
Back
Top Bottom