Huyu alikuwa mwanaume ambaye hatetemekei mzungu sio wengine kurusha rusha pu..u tu hayana misimamo hebu ona kina Nduggy wanavyotia aibu...mwanaume ni simba unatakiwa msimamo kabla ya kuongea tafakari sio unaongea hili kesho lile mzee pamoja na.mapungufu alikuwa mwanaume kiuhalisia...kuzima.legacy yake bado sana yani
Hata sisi tulikua tunampenda MUGABE na kumuita ni simba wa Afrika, ila nyuma ya pazia wazimbabwe ndio walikua wanajua kiongozi wao alikua ni dikteta na fisadi wa kiwango gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.