Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

Nimeshtuka raia wengi wa Afrika Magharibi wanaweka picha ya Rais Magufuli kwenye profile zao

Wamepata Faraja... baada ya dhiki.. Kuna wahindi England humuombea dua Iddi Amin kwa kuwafukuza Uganda and now wamekuwa Matajiri U.K
 
Tulishindwa kumtumia vizuri Magufuli,kuna watu walijikita kwenye kumsifia tu na wengine walijikita kwenye kumponda tu mwanzo mwisho,hayo yote hayakuwa msaada. Hata Rais tuliyenae sasa pia tutashindwa kumtumia vizuri, utaona hata sasa kuna watu wanaona rais wa sasa ndio wao na wengine rais wao hayupo tena.
 
Chanzo cha habari usije ukawa unatuaminisha ujinga
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
 
Angalia walichofanya uingereza sasa hivi baada ya corona kuwanyanyasa sana!

Hatua hii waliyoichukua uingereza yeye Magu aliiona tangu corona inaingia.

Sasa raia za huko zikiona hali hii lazima zimkumbuke Magu
Bloody hell,You mean UK kuwapiga chanjo wananchi wake na kuanza kuruhusu shughuli ziendelee wameiga kwa uyo mtu wako..
Dont be a nitwit mate,use sense
 
Chanzo cha habari usije ukawa unatuaminisha ujinga
Jiwe simpendi na sitawahi kumpenda. Kinachoniumiza hawa watu kumkubali. Nimewaambia Jiwe alikuwa katili. Kaua watu, mwizi wa Rambirambi anaminya demokrasia kaiba matrilion hawaelewi wamerogwa na mataga na propaganda zao laiti wangemjua marehemu
 
Sio propaganda za CCM ila JUA CCM kabla Magufuli hajawa chairman ndo ile ulikuwa ukipita mtaani shati lako la CCM unazomewa ila kiutendaji Magu alikuwa Vizuri na ndio maana sasahivi CCM wanapita na mashati yao huku hawana ata kiwewe cha kuzomewa.
Utendaji upi muuaji mkubwa huyo?
Ndo maana MUNGU akaona ambebe mapema isiwe tabu
 
Hakuna hata kakikundi ni watu tu ka kumi wana lain na aid faki za mitandao kila mmoja zai ya aid 50. Ndio wanamchafua shujaa wa afrika JPM Huku mamilioni ya wa tz wakikubali sera na fikri za JPM
 
Mzuka wanajamvi!

Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.

Hata ukiwaambia kajenga international Airport kijijini kwao, anakandamiza demokrasia hawakuelewi.

Sasa hivi baada ya msiba kwenye whatsapp na Facebook zao ni picha za Magufuli tu.

Halafu ile nyomi ilioenda kuthibitisha.

CCM ni hatari kwa propaganda.
Waafrika wengi ni watu wa kwenda kishabiki kwa hisia bila kuchambua hoja kwa mantiki, hivyo sishangai.

Mtu anaweza kumuweka Magufuli hivyo, wakati hata hamjui vizuri.

Inakuwa fashion tu, yani yeye anamtengeneza Magufuli wake anayemtaka, hamuelewi huyu Magufuli wa kweli.
 
Kwahyo ulitaka international airport isijengwe mkoani geita kisa rais anatokea huko , nyie ndo mkiwa viongoz mnawaachia successors wenu majanga , hii nchi ina pande tano , kaskazin ipo international airport pia kanda ya pwani ipo so yeye alilenga kujenga kanda ya kati na ziwa victoria , hii kwa miaka ya baadae inarajisisha kukuza utalii coz tourists wataweza kufika krb na tour targets zao kiurahis na kupunguza gharama za kufika dar ili ufanye tour kalambo falls , kwa mantiki hiyo Magu alilenga kuwaachia successors wake kaz ya kuja kujenga international airport kanda ya kusini na kusini magharibi , ACHA UKABILA SIO KILA MAENDELEO YAPELEKWE DAR
 
Angalia walichofanya uingereza sasa hivi baada ya corona kuwanyanyasa sana!

Hatua hii waliyoichukua uingereza yeye Magu aliiona tangu corona inaingia.

Sasa raia za huko zikiona hali hii lazima zimkumbuke Magu
Mungu akikupa kibali ndo kakupa hivyo.Magu alipewa uwezo wa kuona mbali sana..we imagine marais wote duniani walikuwa wanaikubali Lockdown...Magu kakataa watu wanamwona kama mwehu fulani afu badae wanamkubali..

Yani hiyo sio propaganda ya CCM ...siri ni kwamba Mungu alishampa kibali cha kukubalika ndio maana alifanya makubwa.Kwa hiyo hata unapoona Africa Magharibi watu wanamlilia barabarani na kuweka profile picture zao Facebook usishangae..

Mtoa mada siri ni Mungu tu hakuna kingine nakualika na wewe yake vizuri na muumba wako...watu WATAKUSHANGAA
 
Back
Top Bottom