Nimeshtukaa! Kumbe wanawake wa Tarime wana Mikia namna hii!.

Nimeshtukaa! Kumbe wanawake wa Tarime wana Mikia namna hii!.

Dr. Mariposa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,921
Reaction score
19,772
Happy New Month,
Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi wenzangu tukajisogeza hapo, ni hotel kubwa nzuri,

Sasa tukiwa pale kitu nilichokuja kushtuka kila mwanamke anayepita kajazia kwenye mkia, hadi wale waliokaa wakisimama wamejazia mikiani, mh! nikawauliza wenzangu hivi mnaona ninachokiona wakacheka sana wakasema "sasa wewe Mari na mikia wapi na wapi, tuachie sisi" nikawaambia sio kama naitaka ila nashangaa sikutegemea kuona mikia iliyojazia na kunona Tarime, nilijua mikia ipo Mwanza na Kagera, nikasema huenda nilitingwa sana na kazi nikawa sifatilii hii mikia ila hiyo siku ndio naiona live,

Mida ya jioni jioni wakaingia wanawake kama sita hivi oyaaaaa, oyaaaaaa, oyaaaaaaaaaaa🫡🙌🏻 yaani mikia inashindana tu ukubwa na upana, wakakaa meza ya pembeni yetu, wakawa wanatuzoom sana baada ya muda wakajisogeza kwenye meza yetu kampani ikawa ya kutosha wakasema wametupenda tulivyo,

Kuna mmoja bhana akaanza kunirembulia macho alikua anakunywa Amarula nikaona mmh hii noma, hiyo SUV naipeleka wapi mimi nisije nikapotelea kwenye mapaja ya mtu, nikazuga naongea na simu kumbe nimeita usafiri, ulipofika tu nikasimama kama naenda washroom shwaaaah! nikawaachia vumbi dadekiiiii,

Ila wanawake wa Tarime mmmmh! mikia ipo bhana, nawapa maua yenu💐💐💐

POV: Wanaume wa Tarime wanapenda kutema tema mate hovyo yaani hawana ustaarabu kabisa, mmesimama mnaongea mtu anarusha mate kama Swila, anaweza akarusha mate hata seblen, mbadilike aisee mbona wanawake zenu wapo vizuri tu kasoro nyie, looh!!!
 
Ana figure ya ki-Bantu, huyu mtoto balaa
Jinsi alivyo jaa, jaa na anavyo ng'aa, ng'aa
Ana rangi ya pekee, na anajua kuvaa
Maswali mengi najiuliza juu ya huyu mama
Kama’ wapi amepata hili bonge la smile, man
(She got it from her momma)
 
🔥🔥
Yeah, like Juvenile
Ila mi nadata na hizo two big tings
Vipi naweza penya ndani ya hiyo G-string, chini ya hiyo bra
Na hiyo tight blue jeans
Ntakupa hata vumba, nipangishe please
Sitolipa kodi ya mwaka bali kodi ya maisha
Nadhani ushanifahamu, nini ninacho maanisha (No)
Nataka kukuoa (True)
Yeah, you uko juu, baby beau
Yaani unapo ongea (Uh-Huh)
Mi roho, roho juu 'ila zaidi ukitembea huwa ndio balaa tu
 
Yaani Singida,(Dodoma)
(Dodoma)

Man, wish ungemuona
Yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
Yo, Singida
(Dodoma)
Yeah, mtoto amenona
Na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
Singida, Dodoma
Man, wish ungemuona
Yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
Yeah, Singida
(Dodoma)
Yeah, mtoto amenona
Na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
 
Dr umetukatili sana kutoweka foro

Cc Smart911
Picha
img_2_1788255503265.jpg
 
Back
Top Bottom