Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Tumia akili dogoBandiko
La muhimu umeweka kama promotion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili dogoBandiko
La muhimu umeweka kama promotion
Bora bajajHawa boda na bajaj ni mtihani sana
Tena haswaaa!! Huwa nawaza zina nn hizi, yaan mtu hata awe smart vipi. Akianza kuwa dereva boda au bajaji lazima abadilike sijui wanakuajee hata. LolHawa boda na bajaj ni mtihani sana
Siku ukigonga boda ndio utajua kuwa hujui,wana umoja sana hao watakuzingua mbayaSheheee bodaaa hakwepekii huyoooo oooh m napitagaa naooo kilmojaaa wengine mapepo jny imejaa kwenye mfumoo
Hapo sasa njia nne ajali inatokeaje bora angemgonga bodaAsubuhi hii barabara ya kuelekea Airport Mwanza jirani kabisa na Rock city mall, Isuzu Journey imeacha barabara na kuingia kwenye moja ya nyumbani zilizo jirani na Mall.
Chanzo ni boda asiye na side mirror aliyetaka kuhama lane na dreva kumkwepa kitu kilichopelekea dereva kushindwa kulimudu gari kuhama na kufungua break ndani ya mojawapo ya nyumba.
Vifo na majeruhi sikupata muda nilikuwa nawahisha mtu somewhere urgent. Bodaboda mjinga sana maana baada ya kuona amesababisha ajali alisepa fasta.
washagongwa maelfu na wanatulia tuli. Hata wao wanajua mwenzao akiwa na kosa.Siku ukigonga boda ndio utajua kuwa hujui,wana umoja sana hao watakuzingua mbaya
Labda mapepoTena haswaaa!! Huwa nawaza zina nn hizi, yaan mtu hata awe smart vipi. Akianza kuwa dereva boda au bajaji lazima abadilike sijui wanakuajee hata. Lol
Hao watu muda wote wanaamini wanaonewawashagongwa maelfu na wanatulia tuli. Hata wao wanajua mwenzao akiwa na kosa.
Mkuu ni Side mirror sio Site mirrorNdugu muandishi wa habari kwanini Tatizo kila siku ni 'site mirror' kwa hao bada boda duh.
Hivi uliona title aloweka awaliTumia akili dogo
97% ya bodaboda zote huwa hazinaga "site mirror". Ukiwauliza wanasema site mirror zinazuia kupaki pikipiki karibu-karibu hapo kijiweni, site mirror zinaibiwa kirahisi, zinavunjika hovyo ukianguka kwa bahati mbaya na huko madukani haziuzwi moja-moja bali zinauza mbili kwa pamoja na sio rahisi kupata original, ila wapo wanaosema ukweli kwamba wanaziondoa makusudi.Ndugu muandishi wa habari kwanini Tatizo kila siku ni 'site mirror' kwa hao bada boda duh.
Kabisa aisee. Wale jamaa akili zao zinawatosha wao wenyewe. Anapiga indicator kukuonesha anaelekea/anaingia kushoto lakini paap! anaingia kulia.Boda akiwa mbele yako usimwamini,Chukua tahadhari mapema.
Dah! Mkuu; Usifanye hivyo kwani wengi wao hawajui watendalo-vichwa vyao vimesizi mazima.m usiku nikiwa nanvyangu na ngao woiii nawapelekea moto mazima