Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijawahi kula kibichi.Hahaha..., kwahiyo huku majumbani kwetu tunakula vibichi😂😂
Du nimecheka. Wenzetu vyakula kama minofu ya nyama inapopikwa huwa na vipima joto maalum huingiza kwenye mnofu ili kujua joto la ndani ya mnofu ili kuweza kujua kama nyama imeiva kwa ndani. Jitahidi kuingia youtube utafute mapishi ya nyama (beef steak) unaone wenzatu wanavyopika na siyo sisi tunachemsha kama ya mbwaHuu utaratibu wa kukipima joto chakula kwa kutumia thermometer kama mgonjwa wa homa maana yake nini?
Hahahahahahahahahah😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😅😅😅😅Du nimecheka. Wenzetu vyakula kama minofu ya nyama inapopikwa huwa na vipima moto maalum huingiza kwenye mnofu ili kujua joto la ndani ya mnofu ili kuweza kujua kama nyama imeiva kwa ndani. Jitahidi kuingia youtube utafute mapishi ya nyama (beef steak) unaone wenzatu wanavyopika na siyo sisi tunachemsha kama ya mbwa
Siyo lazima tatizo liwe ubichi. Tatizo linaweza kuwa kuiva zaidi ya inavyotakiwa. Halafu siyo vyakula vyote wanatumia vipima joto! Wanatumia kwenye vitu kama minofu ya nyama ambayo kukisia kama imeiva kwa ndani ni vigumu. Hata vitu kama keki unaweza kutumiaHahaha..., kwahiyo huku majumbani kwetu tunakula vibichi😂😂
Tunachemsha kama ya?????????????????Du nimecheka. Wenzetu vyakula kama minofu ya nyama inapopikwa huwa na vipima joto maalum huingiza kwenye mnofu ili kujua joto la ndani ya mnofu ili kuweza kujua kama nyama imeiva kwa ndani. Jitahidi kuingia youtube utafute mapishi ya nyama (beef steak) unaone wenzatu wanavyopika na siyo sisi tunachemsha kama ya mbwa
Ya mbwa, Kwani ni uongo? Kwetu sisi pande la nyama lililochemshwa ni dili kubwa watu wanalitolea macho utadhani mwisho wa dunia.Tunachemsha kama ya?????????????????
Na ukilipakua kuna watu lazima waumie mioyoni.Ya mbwa, Kwani ni uongo? Kwetu sisi pande la nyama lililochemshwa ni dili kubwa watu wanalitolea macho utadhani mwisho wa dunia.
Mafaili (hard copies)? Mbona hoteli 🏨 itajaa mafaili? Karibu Mbeya Mjini uone Tulia anavyomstaafisha Siasa Sugu.Kwenye hotel nyingi hasa nchi za ughaibuni ni kawaida kuangalia joto la chakula.Sababu ni kuwa vyakula vinakuwa na bacteria ambao ili wafe na wasiweze kudhuru ni lazima joto flani lifike.Mfano nyama ya kuku safe temperature ni kuanzia 75c mpaka 80c.chini ya joto hilo sio salama kuliwa.joto hutofautiana chakula na chakula.pia vyakula ambavyo vinauzwa vishapikwa kuna joto salama lake,hali kadhalika vinavyouzwa moto kama kwenye ma canteen.
Kwa ufupi kuna system kubwa ya kuhakikisha chakula salama ,kuanzia kinapotoka,kinapofika,upishi na ku 'serve kwake na kuhifadhi.yote hii inakuwa una record na kuweka faili ili,uweze ku trace.
Kwa uk hii wanaita FOOD HYGINE AND SAFETY.
So mleta mada ana exposure kama ya jiweDu nimecheka. Wenzetu vyakula kama minofu ya nyama inapopikwa huwa na vipima joto maalum huingiza kwenye mnofu ili kujua joto la ndani ya mnofu ili kuweza kujua kama nyama imeiva kwa ndani. Jitahidi kuingia youtube utafute mapishi ya nyama (beef steak) unaone wenzatu wanavyopika na siyo sisi tunachemsha kama ya mbwa
Umeeleza vema. ni kawaida sema mleta uzi hana exposure na jambo hilo ndo maana kaona kama kitu cha ajabu
Hahahahaaaa mkuu acha hizoDu nimecheka. Wenzetu vyakula kama minofu ya nyama inapopikwa huwa na vipima joto maalum huingiza kwenye mnofu ili kujua joto la ndani ya mnofu ili kuweza kujua kama nyama imeiva kwa ndani. Jitahidi kuingia youtube utafute mapishi ya nyama (beef steak) unaone wenzatu wanavyopika na siyo sisi tunachemsha kama ya mbwa