Nimeshuhudia kwa macho yangu chakula kikipimwa temperature pale Serena Hotel, maana yake nini?

Nimeshuhudia kwa macho yangu chakula kikipimwa temperature pale Serena Hotel, maana yake nini?

Mafaili (hard copies)? Mbona hoteli [emoji545] itajaa mafaili? Karibu Mbeya Mjini uone Tulia anavyomstaafisha Siasa Sugu.
Hard na soft copy. Wanaweka record ili kama likitokea tatizo la food poisoning waweze kutrace chanzo chake,bila record hawawezi kujua.
 
Sijui maana yake kwa kweli;

Ila kwa kuwa upishi ni fani labda wanahakiki iwapo vyakula vimefikia temperature wanayotaka kwa chakula husika....chakula kisiwe over/undercooked

Mfano kama vile keki labda; ukisoma Cookbook yoyote lazima wakutajie heat level na cooking time mfano; preheat oven and cook for one hour at 375 F.,
 
Hii ni itakuwani cooking temparature, chakula hakiwezi kufika.joto hilo,ni la juu sana.
Sijui maana yake kwa kweli;

Ila kwa kuwa upishi ni fani labda wanahakiki iwapo vyakula vimefikia temperature wanayotaka kwa chakula husika....chakula kisiwe over/undercooked

Mfano kama vile keki labda; ukisoma Cookbook yoyote lazima wakutajie heat level na cooking time mfano; preheat oven and cook for one hour at 375 F.,
 
Ah ok nilikuwa sijakusoma vizuri.Kuangalia temp. Ya vyakula ni general practice sehemu nyingi ulimwenguni,lakin nchi kama za kwetu inakuwa ngumu sababu alichoona mwandishi ni sehemu ndogo tu ya system nzima inayohusiana na food safety and hygiene.Food poisoning bongo sijui inaeleweka vipi.
Ofcourse that i know
 
Back
Top Bottom