Hard na soft copy. Wanaweka record ili kama likitokea tatizo la food poisoning waweze kutrace chanzo chake,bila record hawawezi kujua.Mafaili (hard copies)? Mbona hoteli [emoji545] itajaa mafaili? Karibu Mbeya Mjini uone Tulia anavyomstaafisha Siasa Sugu.
[emoji23]Huu utaratibu wa kukipima joto chakula kwa kutumia thermometer kama mgonjwa wa homa maana yake nini?
Sijui maana yake kwa kweli;
Ila kwa kuwa upishi ni fani labda wanahakiki iwapo vyakula vimefikia temperature wanayotaka kwa chakula husika....chakula kisiwe over/undercooked
Mfano kama vile keki labda; ukisoma Cookbook yoyote lazima wakutajie heat level na cooking time mfano; preheat oven and cook for one hour at 375 F.,
Ofcourse that i knowHii ni itakuwani cooking temparature, chakula hakiwezi kufika.joto hilo,ni la juu sana.
Ofcourse that i know
Ndoto ya mchana hiiMafaili (hard copies)? Mbona hoteli [emoji545] itajaa mafaili? Karibu Mbeya Mjini uone Tulia anavyomstaafisha Siasa Sugu.