Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

RIP Barcelona

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Barca hawapo vizur baada wana kazi ya kutafuta viungo type ya iniesta ambaye soka lake linaishia na xavi smbaye alishatoka ili waendeleze mpira wao wa tik taka style@## ukiangalia wanavocheza kwa sasa ni tofauti na walivokuwa wakicheza hapo juma wamemleta raktic lakini hajafit fit na utajua ubovu wa barca feb 13watavocheza na chelsea
 
Mkuu, inabidi unywe maji mangi pombe ikate.
 
Hakuna kitu kamaicho nikukumbuxhe kitu hapo kwamba timu inamifumo yake naubora watimu unakuja kulingana na wachezaji pamoja na mifumo yakocha akijakocha mtaxema tena barcelona ni best team dunia duara ixhikwa kujifunza na sio kwa kukatixha watu tamaa
 
Kila mwisho huwa ni mwanzo wa kingine
 
Nimekumbuka Andiko lko la Kushuhudia mwisho wa Barca...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
tuletee feedback mkuu
 
Kumbe we mtoto mdogo, fire ya Barcelona ni 2004 imeanza uko kina kluivert, kina Gaucho na wengine, Figo, De Lima na wengine, unasema ya xavi ???? Ya juzi
 
Wabongo na statistics zao za kumakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

King messi ndie baba wa soka mtake msitake ukweli ndio huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…