Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshuhudia timu bora ya wakati wote Barcelona.
Mkuu, inabidi unywe maji mangi pombe ikate.Kila jambo huwa lina mwisho wake. Nimeshuhudia timu bora ya wakati wote Barcelona ikitamba katika soka la kisasa. Timu zote imara zilinyanyaswa na Barcelona ya kuanzia mwaka 2008-2012. Kisha Barcelona ya 2013 - 2015.
Wote ni mashahidi jinsi Messi, Xavi na Iniesta walivyoipa timu hii mafanikio. Kisha ikaja MSN nayo ikatamba na kunyayasa vilabu vingi vya Ulaya kama sio Dunia.
Na sasa naona mwisho wao Umefika, ni kama nilivyoshuhudia Mandela akifikia mwisho wake hapa Duniani, ni kama nilivyoshuhudia Ukuta wa Berlin ukidondoshwa mwaka 1990, Ni kama tulivyoshuhudia mwisho wa maisha ya Papa John Paul wa II, Ni kama nilivyoshuhudia mwisho wa Barack Obama kuwa Rais wa Marekani na sasa nashuhudia mwisho wa Timu bora ya wakati wote, Barcelona ikifikia ukingoni. Ni ukweli unaouma laikini hatuna budi kuukubali.
Asante mungu nimeishi katika kipindi cha timu bora ya wakati wote, na mimi nitakuja kuwasimulia wajukuu wangu panapomajaliwa.
Kila mwisho huwa ni mwanzo wa kingineKila jambo huwa lina mwisho wake. Nimeshuhudia timu bora ya wakati wote Barcelona ikitamba katika soka la kisasa. Timu zote imara zilinyanyaswa na Barcelona ya kuanzia mwaka 2008-2012. Kisha Barcelona ya 2013 - 2015.
Wote ni mashahidi jinsi Messi, Xavi na Iniesta walivyoipa timu hii mafanikio. Kisha ikaja MSN nayo ikatamba na kunyayasa vilabu vingi vya Ulaya kama sio Dunia.
Na sasa naona mwisho wao Umefika, ni kama nilivyoshuhudia Mandela akifikia mwisho wake hapa Duniani, ni kama nilivyoshuhudia Ukuta wa Berlin ukidondoshwa mwaka 1990, Ni kama tulivyoshuhudia mwisho wa maisha ya Papa John Paul wa II, Ni kama nilivyoshuhudia mwisho wa Barack Obama kuwa Rais wa Marekani na sasa nashuhudia mwisho wa Timu bora ya wakati wote, Barcelona ikifikia ukingoni. Ni ukweli unaouma laikini hatuna budi kuukubali.
Asante mungu nimeishi katika kipindi cha timu bora ya wakati wote, na mimi nitakuja kuwasimulia wajukuu wangu panapomajaliwa.
Nimekumbuka Andiko lko la Kushuhudia mwisho wa Barca...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kila jambo huwa lina mwisho wake. Nimeshuhudia timu bora ya wakati wote Barcelona ikitamba katika soka la kisasa. Timu zote imara zilinyanyaswa na Barcelona ya kuanzia mwaka 2008-2012. Kisha Barcelona ya 2013 - 2015.
Wote ni mashahidi jinsi Messi, Xavi na Iniesta walivyoipa timu hii mafanikio. Kisha ikaja MSN nayo ikatamba na kunyayasa vilabu vingi vya Ulaya kama sio Dunia.
Na sasa naona mwisho wao Umefika, ni kama nilivyoshuhudia Mandela akifikia mwisho wake hapa Duniani, ni kama nilivyoshuhudia Ukuta wa Berlin ukidondoshwa mwaka 1990, Ni kama tulivyoshuhudia mwisho wa maisha ya Papa John Paul wa II, Ni kama nilivyoshuhudia mwisho wa Barack Obama kuwa Rais wa Marekani na sasa nashuhudia mwisho wa Timu bora ya wakati wote, Barcelona ikifikia ukingoni. Ni ukweli unaouma laikini hatuna budi kuukubali.
Asante mungu nimeishi katika kipindi cha timu bora ya wakati wote, na mimi nitakuja kuwasimulia wajukuu wangu panapomajaliwa.
tuletee feedback mkuuShakira jana alikua anamuwaza mpenzi wake tu. Hakuna chochpte alichofanya. Kwenye ndio wakapotezwa kabisa, bora ya Messi kidogo alijitahidi.
Binafsi Madrid pamoja na Zidane ninawaona wakisumbua zaidi ya misimu minne ijayo kama Zidane hataingiliwa katika mipango yake.
Namuona Asensio akiingia katika ushindani wa Ballon d'Or tena bila ya kupepesa macho. Ni wazi wazi.
tuletee feedback mkuu
Msinisahau na mie!.Akileta nitag
Tulieni nyie. Mimi ndio mnipe feedback mwisho wa msimu.Msinisahau na mie!.
Akileta nitag
tuletee feedback mkuu
kwahiyo unategemea msimu kuisha madrid kanyanyua kombe!?...unajua msimamo wa la liga ulivyo lakini?Tulieni nyie. Mimi ndio mnipe feedback mwisho wa msimu.