Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

Nadhni jamaa post yake ya august imeexpire, jamani msijifanyage mnajua .... Kuchambua soka, kumbe hamna kitu, aya sasa tumbie tena barca na madrid nani bora leo, tuambie tena nani anachukua uefa msimu huu, na je barca ndo anaend kufa?........
 
Hivi aliyeandika bado yupo na anaendelea na msimamo wake, eti kisa tulifungwa mechi mbili na madridiot za kombe la mfalme basi ndo ikawa conclusion yake
 
Hivi aliyeandika bado yupo na anaendelea na msimamo wake, eti kisa tulifungwa mechi mbili na madridiot za kombe la mfalme basi ndo ikawa conclusion yake
Nadhani atakua uhamishoni
 
We timu haijafungwa tokea mwaka jana August eti leo unasema imefikia mwisho?? Na jana usiku wameshinda the copa del rey kuelekea semi final
 
Shakira jana alikua anamuwaza mpenzi wake tu. Hakuna chochpte alichofanya. Kwenye ndio wakapotezwa kabisa, bora ya Messi kidogo alijitahidi.

Binafsi Madrid pamoja na Zidane ninawaona wakisumbua zaidi ya misimu minne ijayo kama Zidane hataingiliwa katika mipango yake.

Namuona Asensio akiingia katika ushindani wa Ballon d'Or tena bila ya kupepesa macho. Ni wazi wazi.
Ndugu, bado umeshikilia msimamo wako huu!?
 
Kama kweli mfuatiliaji mzuri wa mpira niambie madrid na Barca wametofautiana points ngapi la liga mpaka jana iyo?? Sasa watashindwaje kubeba uefa??
UEFA kwa defence ipi??? Nyie mechi huwa mbili tu msima mzima yaani mkicheza na timu 2 za madrid hizo zingine cjui getafe ni mazoezi tu ila UEFA mkikutana na vigingi kma juve au bayern lazma mtolewe
 
UEFA kwa defence ipi??? Nyie mechi huwa mbili tu msima mzima yaani mkicheza na timu 2 za madrid hizo zingine cjui getafe ni mazoezi tu ila UEFA mkikutana na vigingi kma juve au bayern lazma mtolewe
Vijana wa Real mna stress sana awamu hii
 
Ach unafk, baca ana uefa mara ngapi,
Msimu huu mna defence mbovu sana huo ni ukweli hivyo champions league msahau kabisa kwanza mkikutana na free scoring team kma PSG hii ya sasa..... Mnaweza kuliwa hata 8 naomba utunze hii comment tutakuja kukumbushana come april
 
Vijana wa Real mna stress sana awamu hii
Hapana mie ni fan wa atletico..... Nafkiri mnakumbuka shughuli yetu mlipokuja wanda metropolitano.... Ile ndio mechi zilizobaki ni mazoezi tu ila mechi ya alaves mlistahili kipigo defence yenu mbovu kabisa kma sio inexperience ya alaves mngekula hta 6
 
Unapoambiwa hivo haina maana kuwa atashind kila siku, sawa kijana
Ila ukweli usemwe msimu huu sababu tu real na atletico ni wabovu ila msingechukua ligi..... Competition ipo champions league hamvuki robo fainali kwa defence hii ya samedo na sergi roberto cjui umtiti alafu mnaota champions league..... U gotta be kiddin me 😀😀😀
 
Back
Top Bottom