- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
I just wish ungeweka emotions pembeni!Barca anabebwa na ubovu wa ligi ya hispania yaani akishamfunga atletico na real basi ashachukua ligi automatically ni sawa tu na psg vs monaco au celtic vs rangers hivyo ubovu wa la liga ndio unaipa umaarufu barca
Hivyo basi competition imebaki champions league na nimeshatoa ubashiri hapa kwamba mna ukuta mwepesi sana hivyo ndoto za kuchukua UCL ni finyu..... Mtatoa povu ila ntarudi kuwakumbusha baada ya kupigwa 7 na bayern au PSG
Barcelona afungwe saba na PSG?
Next joke please!