Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

A
Achana nalo jinga moja hilo iq ndogo za wengi wanaopelekwapelekwa.
 
Ila hiki kizazi cha miaka hii sijui kama kitatoboa utu uzima. Maana vijana na mabinti wa sasa maisha wanayoishi huwa najiuliza wanafuture gani hapo baadae.
Kama huta pendekezwa kuwa mtu kwenye sehemu husika basi wewe hukuona na wala hujawahi weka malengo kwenye hayo maeneo... Diaspora tu ndio walio weza kuwaza na kupaza sauti zao kwani wewe Zemanda ulikua wapi!?
 
Umefanya makosa unge ita police faster wawakamate Ila hukufanya hvyo ukaamua kuja kuleta huku
Kuleta huku ni vizuri ili Dunia nzima na watanzania wote kwa ujumla wafahamu kinachotendeka.

Suala la kuita police lingeisha kimya kimya na kuwapa ulaji watu wengine.

Hapa kuripoti matukio kama hayo ndy mahala pake
 
Hamna Cocain hapo hayo mashisha wanagonga yanajazwa brown sugar takataka
Na ndiyo hiyo unaona mateja huko mitaani.
Cocaine ni parefu hugusi km hujashiba mkwanja.
Hayo makapi ya heroin ndo unaona wanavutavuta yakichanganywwa kwenye sheesha.
Cocaine inabidi uwe na hela ndefu isiyoisha.
Sio hela za kupanda bajaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…