Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mateja hayana nguvu ya kubeba ndoo yenye rangi...Mmmh hao Wezi kweli akili zao ziko mattercorn[emoji23][emoji23]
Ewaaa... na hawana mteja wa kumuuliza rangiWaliona kubeba ni nzito
Hizo ndoo ni dili kama ni sehemu ya ununuzi wa mazao hutumika kupimia mahindi, mpunga nk. Ndoo moja huuzwa hadi laki moja nakidogo.
Bora wangeiba rangi waache ndooHao wezi ni wapumbavu sana, bora wangeiba rangi tu ijulikane tu ila kumwaga inaonyesha hilo eneo unaloishi watu bado wanaishi maisha ya old stone age
Mwambie aje kwangu apunguze machungu weather guard ya nje ntamuuzia Kwa 90000
Na emulsion ya kawaida 27,000
Mpe pole sana
Mwambie ajipange kuna mwingine aliibiwa nyaya zote baada ya kufanya wiring
So
So
So
We jamaa jifunze kuandika fresh
So. Mlinzi kafanywaje.Kisa cha jana
Huku mtaani kwetu bwana kuna nyumba fulan inafanyiwa finishing. Hakuna aliyehamia bado.
So wamemaliza plasta so wanataka anza skimming na rangi. Wameleta ndoo kibao za rangi kwa ajili ya kuanza kazi. Nyumba ina geti so vifaa vinakaa ndani na fundi pia mmoja hulala humo.
So anaelala alitoka so wazee wa kazi wakaja kumuotea nadhan walimsomea raman ni mzee wa gambe..
Kinachonishangaza ni kitu walichoiba[emoji1787]
Eti wamekuta zile ndoo zina rangi, wao wana shida na ndoo.. so wamemwaga rangi kadhaa wakasepa na ndoo...
Rangi zile nyingine zina kost 130k za nje na zingne ni 32k zile za rangi. Lkn wameiba ndoo ya 2k.
Hivi unajua ndoo ikiwa na rangi ilivyo nzito?Mmmh hao Wezi kweli akili zao ziko mattercorn[emoji23][emoji23]