Nimeshuhudia wizi wa ajabu huku kwetu

Kesho watakuja kutoka mbao mlizo hezekea wawaachie mabati.
 
Hao wana bifu na mafundi au mwwnye nyumba ukute kuna hela wanadaiana. Au ukute wanaharibiana kazi. Hakuna wizi waki wack namna hiyo.
 
Hao ni wanaccm kindakindaki wamevurugwa na maisha tu,hizo ndoo wamechukua kwenda kuogea baharini watoe nuksi
 
Nakumbuka mwaka 2018 tulibiwa ofisini kwetu, wale wezi walikuja gari aina ya Noa na walishirikiana na mlinzi lakini cha kushangaza waliiba computer mbili (desktop), laptop moja na wakabeba sefu ya hela ndani kulikuwepo na elfu 10 tu.

Kwa kuangalia CCTV camera walikuwa wezi watano, lakini cha kushangaza zaidi waliacha generator ndogo 5kVA diesel engine thamani yake 2.5M, kulikuwepo na pump za sheli kama 10 hivi kila moja thamani yake ni 18M, wakaiba vitu ambavyo laki 6 sidhani kama walifikisha.

Hawa wanaoitwa wezi kuna baadhi ya shughuli zao za wizi hawajui wanatafuta nini au wanaiba kile walicho na soko na siyo wanaiba kwamba chenye thamani kubwa
 
Mwambie aje kwangu apunguze machungu weather guard ya nje ntamuuzia Kwa 90000

Na emulsion ya kawaida 27,000

Mpe pole sana

Mwambie ajipange kuna mwingine aliibiwa nyaya zote baada ya kufanya wiring

Unapatikana wapi bosi??
 
So. Mlinzi kafanywaje.
So mwenye nyumba je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…