Tetesi: Nimesikia Lumumba wanasema kwa wabunge "10 Yatosha"

Tetesi: Nimesikia Lumumba wanasema kwa wabunge "10 Yatosha"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kama taarifa hizi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12.

Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CCM ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa.

Wenyewe wanasema eti "10 Yatosha"

Maendeleo hayana vyama

cc: Mzee Mgaya, Pascal Mayalla
 
Kama taarifa hixi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12

Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CC ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa

Wenyewe wanasema eti " 10 Yatosha"

Maendeleo hayana vyama

cc: Mzee Mgaya, Pascal Mayalla
Yatosha kwa kweli waachie wengine, sio kila mwaka wao tu
 
Kama taarifa hixi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12

Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CC ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa

Wenyewe wanasema eti " 10 Yatosha"

Maendeleo hayana vyama

cc: Mzee Mgaya, Pascal Mayalla
Kwa kweli kama ccm wanataka bunge active na siyo lile lenye mambu mbu ambayo yakiulizwa una njaa? ndiyoooo!!!. Umekula?? Eeeee!. Hata ndugai anapaswa kukatwa kwenye mchujo asirudi kabisa bungeni. .Bora wampe John Palingo aliyeshinda kura za maoni msimu uliopita wakamkata wakampa aliyeshindwa.
 
Wanataka waweke wabunge njaa ili katiba ibadilishwe inchi irudi kwenye utawala wa chama kimoja.
 
Mbunge aliekaa Bungeni kwa muda mrefu zaid ni Dr Mary Nagu ambae amekaa kwa vipindi vinne (Miaka 20)

Na Mtu aliekaa Bungeni kwa Muda mrefu zaid ni Mtemi Andrew Chenge ambae ameingia kwa mara ya kwanza 1993 kama Mwanasheria Mkuu hadi 2005 ambapo aliendelea kama Mbunge wa Bariadi hadi leo, so ana miaka 27 mfululizo Bungeni na huenda akaendelea kama Demokrasia itaachwa iamue
Mbunge wangu Captain George Mkuchika sijui mwaka wake wa ngapi huu mjengoni,
Kwa sasa ana miaka 72 hana budi kupumzika awachie wengine, though ameisadia Newala yetu
 
Kama taarifa hizi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12.

Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CCM ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa.

Wenyewe wanasema eti "10 Yatosha"

Maendeleo hayana vyama

cc: Mzee Mgaya, Pascal Mayalla
Kuna wengine wako tangu enzi za Mwalimu. Huo utakuwa umuzi wenye afya..
 
Kama taarifa hizi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12.

Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CCM ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa.

Wenyewe wanasema eti "10 Yatosha"

Maendeleo hayana vyama

cc: Mzee Mgaya, Pascal Mayalla

Hata kwenye rasimu ya Warioba maoni yetu sisi wananchi ilikuwa mwisho wa ubunge iwe ni miaka 10, lakini wabunge wa ccm wakachezea rasimu ile, na kulazimisha eti mbunge aendelee kukaa madarakani mpaka wananchi wachoke. Kama wameamua hivyo hata ile tabia ya kupitisha sheria za kipuuzi itapungua bungeni.
 
Back
Top Bottom