The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Kama Magu hapendi Mafisadi Kiukweli kweli basi mtu wa kwanza kukata anatakiwa awe Chenge. Inawezekana kabisa jamaa akawa ni fisadi number moja na mkubwa kwenye historia ya nchi yetu. Akiwa AG ameshiriki kwenye mikataba mingi ya kifisadi.Mbunge aliekaa Bungeni kwa muda mrefu zaid ni Dr Mary Nagu ambae amekaa kwa vipindi vinne (Miaka 20)
Na Mtu aliekaa Bungeni kwa Muda mrefu zaid ni Mtemi Andrew Chenge ambae ameingia kwa mara ya kwanza 1993 kama Mwanasheria Mkuu hadi 2005 ambapo aliendelea kama Mbunge wa Bariadi hadi leo, so ana miaka 27 mfululizo Bungeni na huenda akaendelea kama Demokrasia itaachwa iamue