Tetesi: Nimesikia Lumumba wanasema kwa wabunge "10 Yatosha"

Tetesi: Nimesikia Lumumba wanasema kwa wabunge "10 Yatosha"

Lakini jamani hivi hamujui mtu mwenye experience ndo mzuri kupewa kazi?
 
Mbunge aliekaa Bungeni kwa muda mrefu zaid ni Dr Mary Nagu ambae amekaa kwa vipindi vinne (Miaka 20)

Na Mtu aliekaa Bungeni kwa Muda mrefu zaid ni Mtemi Andrew Chenge ambae ameingia kwa mara ya kwanza 1993 kama Mwanasheria Mkuu hadi 2005 ambapo aliendelea kama Mbunge wa Bariadi hadi leo, so ana miaka 27 mfululizo Bungeni na huenda akaendelea kama Demokrasia itaachwa iamue

Haya sema tena, demokrasia imeamuwa kwa kumtupa nje!
 
Back
Top Bottom