johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maskini joka la makengeza!ccm hoyeeeh!!!jiwe saafiii!!
Yatosha kwa kweli waachie wengine, sio kila mwaka wao tuKama taarifa hixi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12
Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CC ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa
Wenyewe wanasema eti " 10 Yatosha"
Maendeleo hayana vyama
cc: Mzee Mgaya, Pascal Mayalla
Kwa kweli kama ccm wanataka bunge active na siyo lile lenye mambu mbu ambayo yakiulizwa una njaa? ndiyoooo!!!. Umekula?? Eeeee!. Hata ndugai anapaswa kukatwa kwenye mchujo asirudi kabisa bungeni. .Bora wampe John Palingo aliyeshinda kura za maoni msimu uliopita wakamkata wakampa aliyeshindwa.Kama taarifa hixi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12
Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CC ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa
Wenyewe wanasema eti " 10 Yatosha"
Maendeleo hayana vyama
cc: Mzee Mgaya, Pascal Mayalla
Nimekuelewa bwashee!Yatosha kwa kweli waachie wengine,sio kila mwaka wao tu
Mkuchika alishatangaza kustaafu!Mbunge wangu Captain George Mkuchika sijui mwaka wake wa ngapi huu mjengoni,
Kwa sasa ana miaka 72 hana budi kupumzika awachie wengine, though ameisadia Newala yetu
Mbunge wangu Captain George Mkuchika sijui mwaka wake wa ngapi huu mjengoni,
Kwa sasa ana miaka 72 hana budi kupumzika awachie wengine, though ameisadia Newala yetu
Kuna wengine wako tangu enzi za Mwalimu. Huo utakuwa umuzi wenye afya..Kama taarifa hizi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12.
Kwamba wabunge wote waliokaa bungeni kwa tiketi ya CCM kwa miaka 10 au zaidi uwezekano wa kupitishwa na CCM ya chama ni 5% tu na 95% ni kukatwa.
Wenyewe wanasema eti "10 Yatosha"
Maendeleo hayana vyama
cc: Mzee Mgaya, Pascal Mayalla
Kama taarifa hizi ni za kweli basi bungeni kutakuwa na mabadiliko makubwa na hii italeta afya kwenye bunge la 12.