The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Kama Magu hapendi Mafisadi Kiukweli kweli basi mtu wa kwanza kukata anatakiwa awe Chenge. Inawezekana kabisa jamaa akawa ni fisadi number moja na mkubwa kwenye historia ya nchi yetu. Akiwa AG ameshiriki kwenye mikataba mingi ya kifisadi.Mbunge aliekaa Bungeni kwa muda mrefu zaid ni Dr Mary Nagu ambae amekaa kwa vipindi vinne (Miaka 20)
Na Mtu aliekaa Bungeni kwa Muda mrefu zaid ni Mtemi Andrew Chenge ambae ameingia kwa mara ya kwanza 1993 kama Mwanasheria Mkuu hadi 2005 ambapo aliendelea kama Mbunge wa Bariadi hadi leo, so ana miaka 27 mfululizo Bungeni na huenda akaendelea kama Demokrasia itaachwa iamue
Amewahi kushtakiwa kwa ufisadi?Kama Magu hapendi Mafisadi Kiukweli kweli basi mtu wa kwanza kukata anatakiwa awe Chenge. Inawezekana kabisa jamaa akawa ni fisadi number moja na mkubwa kwenye historia ya nchi yetu. Akiwa AG ameshiriki kwenye mikataba mingi ya kifisadi.
Ndugai ana miaka 20 bungeni!Ndugai keshamaliza miaka 10 ni nani atamtoa wakati keshamhakikishia Mkuu kuwa ataibadili Katiba kupitia bunge!
Sisi hatuwaigi Marekani.........Hata Corona tumeifurusha kivyetu hatukuiga!Nancy Pelosi ana miaka mingapi?Kwanini wamarekani wanamwamini zaidi? Sio tu kuwa mbunge bado ni spika.
Experience is the best teacher.
Madeni waliyobeba utawahurumia!Pesa wanazopata kwa mtu mwenye mipango miaka 10 umaskini kwisha ila wanakalia kununua magari ya kifahari na mwishoe wanakosa hata pesa ya mafuta.
Mmh no no umekwepa swali la msingi mkuu.Sisi hatuwaigi Marekani.........Hata Corona tumeifurusha kivyetu hatukuiga!
Nimekuelewa bwashee!Mtaji wa 10 years unatosha waachie wengine
Hoja yako haina mashiko maana hata hao wengine walikuwa wabunge njaa kabla hawajapata nafasi au wewe ni miongoni mwao.??Wanataka waweke wabunge njaa ili katiba ibadilishwe inchi irudi kwenye utawala wa chama kimoja.
Hahaaaa! Nitashangaaa likikatwaMaskini joka la makengeza!
cc: Mzee MgayaVijana Ni taifa la kesho... Lakini hiyo kesho ya vijana Kila siku inakuwa kesho kwa sababu wazee Hadi kesho wanataka kuwepo ktk madaraka...
Naunga mkono hoja % zote.
Nadhani huyu ni kibajaji!Hoja yako haina mashiko maana hata hao wengine walikuwa wabunge njaa kabla hawajapata nafasi au wewe ni miongoni mwao.??
Nadhani joka ndio the oldest. Since 1993 akiwa mwanasheria mkuu wa sirikaliMaskini joka la makengeza!