Nimesikia / Nimemsikia vibaya peke yangu au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Dakika chache zilizopita Rais Samia ametoka kumtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa Rais badala ya kumtaja kama Rais Mstaafu katika Utambulisho wake kabla ya kuanza kutoa Hotuba yake. Kama kawaida najua kuna wale Watetezi hovyo watakuja Kubisha hivyo naomba warejee matangazo ya TBC1 ili waweze Kujiridhisha.

hata hivyo GENTAMYCINE wala sijamshangaa sana Rais Samia alipomtaja Kikwete kama Rais badala ya Rais Mstaafu.
 
Unashida gani wewe kwani si Rais ndio asiye na ofisini kwa sasa amestaafu..ila cheo hicho ni chake kweli
 
Una Akili sawa sawa Kichwani? Yaani Yeye ndiyo Rais Kikatiba lakini kwa kuchanganya Madesa kamtaja Kikwete kuwa Rais. Kwahiyo na Wewe Kichwa tupu unakubali Kikwete (ambaye ni Rais Mstaafu) kuitwa Mheshimiwa Rais wakati Kikwete sasa ni Mstaafu?
 
Jamaa anaonekana kichwani hakuna kitu,hajui tofauti iliyopo kati ya Rais mstaafu na aliyepo madarakani.Bilashaka akiambiwa na waziri mkuu kua nenda kamuone Rais,ataenda kwa Kikwete Chalinze,akiamini bado ni Rais,na kumwambia shida yake.
 
Ai
Aisee!
 
Una Akili sawa sawa Kichwani? Yaani Yeye ndiyo Rais Kikatiba lakini kwa kuchanganya Madesa kamtaja Kikwete kuwa Rais. Kwahiyo na Wewe Kichwa tupu unakubali Kikwete (ambaye ni Rais Mstaafu) kuitwa Mheshimiwa Rais wakati Kikwete sasa ni Mstaafu?
Hujamwelewa tu, ila yuko sahihi. Samia ni alama ya rais, anapokea maelekezo ya namna nchi inavyotakiwa kwenda kutoka kwa kikwete.
 
Badili jina la ID yako na ujiite hovyo hovyo brain sawa? Nilijua tu kuwa katika huu Uzi kuna Watetezi wake Majuha mtakuja.
 
Ukitaka kufatilia Kila kitu kinachoendelea huko siasani utajikuta unakufa kihoro
 
Kwa kidhungu za leti presidento yaani aliyekuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…