Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Jamani! SSH ni mwanamke! Lazima pawepo wa kumpelekea moto!Dakika chache zilizopita Rais Samia ametoka kumtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa Rais badala ya kumtaja kama Rais Mstaafu katika Utambulisho wake kabla ya kuanza kutoa Hotuba yake. Kama kawaida najua kuna wale Watetezi hovyo watakuja Kubisha hivyo naomba warejee matangazo ya TBC1 ili waweze Kujiridhisha.
hata hivyo GENTAMYCINE wala sijamshangaa sana Rais Samia alipomtaja Kikwete kama Rais badala ya Rais Mstaafu.