uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Ya JK iliajiri sana vijanaAwamu hii na ya JK kuna tofauti gani kwani?
Ilitoa sana mikopo ya elimu
Sekta binafsi ilikuwa na kuajiri vizuri
Uhusiano kimataifa ulikuwa mzuri
China Xi alikuja hapa
Obama alikuja hapa
Bush ndio kabisa kama kwake
Clinton alikuwa anakuja kupumzika Arusha n.k