Nimesikia / Nimemsikia vibaya peke yangu au?

Jamani! SSH ni mwanamke! Lazima pawepo wa kumpelekea moto!
 
Kama anamsaidia kuongoza nchi kwanini amwite Rais Mstaafu wakati mwenzetu yuko naye?
 
Kuna Watu mnajiachia tu ku comment mtakavyo, ukitafutwa na wenyewe utakuwa peke yako huko kila Mwana jf yuko kwake.
 
Mifumo ya nchi ingeruhusu ningependekeza agombee tena Mh Rais Jk
Ili afanye mauaji na utekaji? Alikuwa mwasisi wa mauaji, kumbuka mauaji ya yule mwandishi wa habari kule iringa, pia utekaji na utesaji wa Dr. Ulimboka
 
Acha kufuatilia mambo ya kipuuzi, inawezekana ameteleza ulimi. Mwanaume mzima na mapumbu yako huu ni uzi? Mnaitumia JF vibaya
 
Ili afanye mauaji na utekaji? Alikuwa mwasisi wa mauaji, kumbuka mauaji ya yule mwandishi wa habari kule iringa, pia utekaji na utesaji wa Dr. Ulimboka
Awamu gani haijawa na mauaji!?
 
Ili afanye mauaji na utekaji? Alikuwa mwasisi wa mauaji, kumbuka mauaji ya yule mwandishi wa habari kule iringa, pia utekaji na utesaji wa Dr. Ulimboka
Bomu la Olasiti maandamano ya CHADEMA watu walipoteza maisha.
 
Kashikilia remote huyo 😄

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…