Ya JK iliajiri sana vijanaAwamu hii na ya JK kuna tofauti gani kwani?
Nakubaliana na wewe yote uliyoandika. Ila UFISADI na NEPOTISM vilishamiri sana kwenye awamu yake.Ya JK iliajiri sana vijana
Ilitoa sana mikopo ya elimu
Sekta binafsi ilikuwa na kuajiri vizuri
Uhusiano kimataifa ulikuwa mzuri
China Xi alikuja hapa
Obama alikuja hapa
Bush ndio kabisa kama kwake
Clinton alikuwa anakuja kupumzika Arusha n.k
Ufisadi umekuwepo mda wote naweza sema kuimaliza imekuwa ngumu labda kutokana na jamii kutowajibika kwa pamojaNakubaliana na wewe yote uliyoandika. Ila UFISADI na NEPOTISM vilishamiri sana kwenye awamu yake.
Mwanzoni nilikuchukulia kama mwenye hekima na busara. Tangu nikufahamu wewe ni nani, ninakuchukulia ni miongoni mwa wanaotudhulumu walipa kodi wa nchi, tozo kila huduma lakini huduma duni kila sekta.You're a certified Moron.
Nani kasemaAwamu gani haijawa na mauaji!?