FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzimu wa mwendazake Bado unakutesa
Mfate alipo
Mshenzi ulizihesabu wewe ile nisiasa uliziona alivua ukamuonaMatendo hukidhi haja kuliko maneno, hatutasahau watu wasiojulikana, risasi 19 alizopigwa Tundu lisu akiwa Mbunge.
He was a devil
Ahahahhaa maza kanfurahisha sana aisee."Na ndizo ajira zenyewe" aliyesema hii Ni Hangaya au?
Mbona na ww utajongea hukoMfate alipo
Uliwataarifu uliokuwa nao karibu ili wakukimbize hospitalini mkuu. Maana kusikia uchungu ni dalali ya kwamba mtoto yupo tayari kutoka. Mungu akusaidie ujifungue salama.
Alikuwa na ushawishi kwelikweli, sijui huyu wa sasa kuna kitu gani kinachomkosesha hii sifa ya uongozi?huyu baba akitoa amri mpaka mapigo ya moyo yanasimama.
Vipi ushajifungua?Uliwataarifu uliokuwa nao karibu ili wakukimbize hospitalini mkuu. Maana kusikia uchungu ni dalali ya kwamba mtoto yupo tayari kutoka. Mungu akusaidie ujifungue salama.