Nimesikia uchungu sana kusikia haya maneno ya busara toka kwa Hayati Magufuli, inauma sana!

Nimesikia uchungu sana kusikia haya maneno ya busara toka kwa Hayati Magufuli, inauma sana!

Wafanyabiashara nao wako na shida muda mwingine, nilipita Mbagala juzi nikakuta vurugu kidogo kuuliza wanasema kuna eneo wametengewa hawa machinga ila hawataki kwenda kukaa huko wanataka wapange vitu vyao eneo la wanaotembea kwa miguu pembeni mwa barabara.
 
Yaani huyu jiwe mwendazake alivuruga kila kitu ktk nchi hii

Nina uhakika huko alipo hawezi kupumzika kwa amani
 
Nawe ni lijinga tu.Umekosa watu wooooteee wa kukupa maneno ya busara ndiyo ukayapata hapo?😂😂😂😂😂
 
Matendo hukidhi haja kuliko maneno, hatutasahau watu wasiojulikana, risasi 19 alizopigwa Tundu lisu akiwa Mbunge.
He was a devil
Mshenzi ulizihesabu wewe ile nisiasa uliziona alivua ukamuona

Naungana na wewe kupigwa rusasi sio jambo zuri

Ila kuwa kumi na sita niungo

Huo KIPINDI FULANI WSLISEMA 28 TENA 32 SAIVI 16

HII NCHI ILICHEZEWA SANA
 
Back
Top Bottom