Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda.
Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko.
Tunahitaji viongozi watakao ilinda katiba na kuiheshimu kweli kweli sio tunasema tunalinda alafu vitendo sifuri.