nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Jikite katika majibu ya swali itapendeza zaidiEndelea kuwepo online utapata majibu
Kwanini?Achana na ngono kijana mtafutaji.
Ngono ni gharama sana. Itakurudisha nyuma kimaendeleo.Kwanini?
Ni sababu hiyo tu? Hakuna nyingine?Ngono ni gharama sana. Itakurudisha nyuma kimaendeleo.
Tafuta mpenzi mmoja, sio lazima awe mweupe na ana tako..Kwanini?
Iyo tuNi sababu hiyo tu? Hakuna nyingine?
What if ikiwa against ya unachosema?Tafuta mpenzi mmoja, sio lazima awe mweupe na ana tako..
Mkapime kisha fungeni ndoa halali..
Atakua msaidizi wako kiroho na kimwili.
KipiWhat if ikiwa against ya unachosema?
Hakuna sabahu ya kiroho?Iyo tu
Ukipiga gharama za Lodge 20,000/-, bia 20,000/-, posho 30000/-Ngono ni gharama sana. Itakurudisha nyuma kimaendeleo.
Hahaha dadekiUkipiga gharama za Lodge 20,000/-, bia 20,000/-, posho 30000/-
Ikoje mkuuSio kweli
sex is overratedKua na mpenzi mmoja mfanye kwa usafi,.
Halafu fanya mambo yako ya msingi,. Kama unaweza bila kufanya kabisa nayo ni nzuri zaidi