Nimesikia wrong sex inaleta mikosi maishani kwanini?

Nimesikia wrong sex inaleta mikosi maishani kwanini?

Mikosi ni dhana ya kufikirika, imaginations just an illusion.

Hakuna mikosi.

Uhusiano uliopo ukipenda ngono sana labda useme hela ambayo ungenunua matofali, unatumia kununua utelezi.

Unateleza mpaka una anguka kuwa maskini.
Screenshot_20240921-214935~2.jpg
 
Haya mambo ya ku exchange energy ukifanya ngono ni uongo.

Kama ingekuwa ukifanya ngono una exchange energy, Wanawake malaya wanaofanya ngono na matajiri wangepata energy za utajiri.

Ila wapi, wanabaki na umaskini wao wakiendelea kudanga kwa watu wengine zaidi.
Ukute wanapata the Wanapoteza
 
Hiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea?
Nataka kuwa sahihi katika utafutaji sitaki ndumba Asanteni
DayMonde ana right sex na kila anayelala naye anachukua nyota yake, sasa wewe lala na wenye mikosi !
 
Ilikuaje mkuu nipe experience
Wanaume niliokuwa nao walinitumia kupata fedha na wakao kwingine, nawalinifanya nyama saivi napumulia gesi nimehangaika wamenirushia majini , mapepo , mikosi, walinichukulia hedhi, mkojo, nywele, chupi , akili , uchangamfu , kuonekana , zamani nikifanya interview chapu kazini. Mshahara mnono maisha yangu yalikuwa nabadilisha nguo , nabiashara inaenda sasa hivi hakuna mitu nimehangaika hadi basi acha tu .
Nimebakia siingizi hata mia hakuna anayeniona
 
Kama ambavyo unaweza pata mikosi ndo unavyoweza kupata baraka .

Kiroho - unapojmiana na MTU mnkuwa mmeshakuwa mwili mmoja .

So kama ana nguvu fulani chanya inaweza kuja kwako na ya kwako ikaenda kwake.

Kiuchumi
Unapokuwa na mwanamke zaidi ya mmoja unaweza kuyumbisha uchumi wako.
Kama hivo ni kwel Mimi uko nyuma nimelala na mademu wengi sana ila sasa nimeacha
Kwahy unatak kuniambia nikifeli kweny hustle zangu ni shauri ya hao mademu
 
Angalia bro, tunaishi kwenye bara maskini kuliko yote duniani, mbaya zaidi ni kwenye sub-continent maskini kuliko zote duniani(East Africa).

Unadhani kwa ugumu huu wa maisha, watu hawatotafuta namna za kujipa moyo, za kukwepa mzigo wa lawama walionao?
Na ni namna gani rahisi zaidi ya kufanya hivyo kama sio kukariri dhana potofu?

'Ngono inaleta mikosi.'

'Ukitaka utajiri uza roho kwa shetani.'

'Wazungu ni freemason.'

Fikiria bro.
 
Wanaume niliokuwa nao walinitumia kupata fedha na wakao kwingine, nawalinifanya nyama saivi napumulia gesi nimehangaika wamenirushia majini , mapepo , mikosi, walinichukulia hedhi, mkojo, nywele, chupi , akili , uchangamfu , kuonekana , zamani nikifanya interview chapu kazini. Mshahara mnono maisha yangu yalikuwa nabadilisha nguo , nabiashara inaenda sasa hivi hakuna mitu nimehangaika hadi basi acha tu .
Nimebakia siingizi hata mia hakuna anayeniona
Kimbilia kanisani ukaonane na upate msaada wa kiroho
 
Haya mambo ya ku exchange energy ukifanya ngono ni uongo.

Kama ingekuwa ukifanya ngono una exchange energy, Wanawake malaya wanaofanya ngono na matajiri wangepata energy za utajiri.

Ila wapi, wanabaki na umaskini wao wakiendelea kudanga kwa watu wengine zaidi.
I said what i said akipenda ushauri achukue asipopenda aendelee kulala na hao wanawake atapata anachotafuta done.
 
Angalia bro, tunaishi kwenye bara maskini kuliko yote duniani, mbaya zaidi ni kwenye sub-continent maskini kuliko zote duniani(East Africa).

Unadhani kwa ugumu huu wa maisha, watu hawatotafuta namna za kujipa moyo, za kukwepa mzigo wa lawama walionao?
Na ni namna gani rahisi zaidi ya kufanya hivyo kama sio kukariri dhana potofu?

'Ngono inaleta mikosi.'

'Ukitaka utajiri uza roho kwa shetani.'

'Wazungu ni freemason.'

Fikiria bro.
Umesema vizuri lakini bado hujanipa nini hasa sababu ya kua sex inakua Baraka
 
Ukute wanapata the Wanapoteza
Hamna.

Ingekuwa hivyo, Basi kama demu ni maskini kilaza akisex na mtu mwenye akili na maarifa ya kitajiri, Hizo energy zinakuja kwake na yeye anapata mgao wa hizo Energy za kitajiri.

Mbona ile pisi ya mzee Mengi imeshindwa kupata energy ya kuendeleza utajiri wa mzee mengi, Inalia lia mahakamani ipewe mali.
 
Back
Top Bottom