Research Consultant
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 453
- 772
Ngono is overrated, mpaka watu wanaomba ushauri waifanye vpHiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea?
Nataka kuwa sahihi katika utafutaji sitaki ndumba Asanteni
Ngono ni tendo linaloandamana na uchafu uitwao janaba.. Sasa ukingonoka hovyo utakuwa na uchafu kiasi gani? Waangalie wale wanaoitwa majabana maisha yao yalivyoHiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea?
Nataka kuwa sahihi katika utafutaji sitaki ndumba Asanteni
Umejibu kitaalamu 👍MKuu hizi elimu ni pana Sana hata Nikijaribu kuelezea Nitakuwa Naacha vitu Vingi Mno..
Kiufupi Sex ikifanywa kama wanavyofanya Vijana sasa Hivi leo yuko na Huyu kesho yuko na Yule Ni hatari sana na hata hupeleka Kupoteza mwelekeo wa mambo yake..
Sex ni lango La kuingia kwenye Malimwengu mbali mbali na zamani walikuwa Wakifanya Hivyo Kwa Wahindu na Kwa Wabudha (Japo mpaka sasa wanafanya Ila sio kwenye Masinagogi yao kama zamani)
Umewahi kusikia Maneno kama Sexual alchemy, Au Sexual Transmutation (Au Sexual energy Transmutation)..
Au umewahi kusikia kuhusu YingYang na Tao Practise?
View attachment 3104812
Mnapokuwa Mnafanya Mapenz kadri mnavyozidi kuzama Intimacily ndo mnavyozidi kubadilishana Energy au msipobadilishana bhasi mtashare energy sasa hapa ndo kuna shida unaweza ukachukua Energy za Wadada Zaidi ya Kumi tofauti kwa siku moja na Kila Energy ina Frequency yake na ina mambo yake mwingine ana mikosi unabeba na mwingine ana shida unabeba..
Mwisho wa siku unajikuta hata weww mwenyew hujielewi Akili.yako Inakumbwa Na stress ambazo hujui hata zinatoka nini na ndo maana Watu Husema kuwa huenda Hizo ni Kubadilishana kwa roho chafu (Demon Transfer)..
Kuna Vingi sijavielezea Hapo Vingi sana naviacha blank.. na hayo Ni pamoja na Kumwaga Semen na Vingine...
Tuhamie kwenye Sayansi..
Unapofanya mapenz na mwanaume wewe mwanamke una Micro DNA information iliyojaa taarifa na karma na Mapito ya Huyo mwanaume..
Kitalaamu Transfer hii huitwa male microchimerism. (Ingawaje bado ipo Kwenye Discussion)..
Japo Mpaka Sasa Inakubalika kwa asilimia chache kwamba Mkifanya mapenzi wote mnaachiana some sort of Micro Information ambazo ndo huitwa Microchimerism..
Kwa sasa Microchimerism au Kuhamisha DNA kwenda kwa mwingine inakuwa Regarded sana na imekubalika kwa reseadch ni Pregnancy Microchimerism..
Kwamba mwanamke akibeba mimba ya mwanaume bhasi baadhi ya DNA kutoka kwa Mwanaume Humwingia na Hazitoki Mpaka anapokufa ..
Cc Pdiddy,Diamond.Hiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea?
Nataka kuwa sahihi katika utafutaji sitaki ndumba Asanteni
Kuhusu Kiroho (Spiritually) tatizo sio Kinga au Kutokuwa na Kinga Tatizo ni ile intimacy yaani Ukizama kwemyr Mapenz na yeye akazama Mnafanya Energy interconnection na Ndo maana Mnaweza wote kufurahia mnachokifanya kwa pamoja..Umejibu kitaalamu 👍
Swali langu, ukitumia protected sex kuna tofauti na kwenda kavu? Au connection ipo tu na je dry humping hamgusanishi?
Niulize mimi?Hiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea?
Nataka kuwa sahihi katika utafutaji sitaki ndumba Asanteni
Ukiona umepiga mpaka bao limetoka umefurahi sana hapo mzeewetu umepokea energy ila ukipiga bao halitoki au linatoka kwa tabu mzeewetu hapo energy zako zimeenda jiandae kwa stress, upige kavu uvae condom ikitokea hivyo jua hivyo hio ni kwa mwanaume na mwanamke ukimkojolesha jua amechua energy ndio maana unakuta wanawake wengi hawakojoi yaani hakuna energy wanayopokea ila siku wakikutana na mwanaume wakakojoa maana yake wamepokea energy hivyo hufurahiaSwali langu, ukitumia protected sex kuna tofauti na kwenda kavu? Au connection ipo tu na je dry humping hamgusanishi?
Mweee nni alikudanganya mademu wa tinder na badoo wana nyota🤣🤣🤣🤣Wewe ndio mchukuaji ndio maana unalenga wenye nyota
Nani mwanaume hapaMweee nni alikudanganya mademu wa tinder na badoo wana nyota🤣🤣🤣🤣
Mie nilizaliwa mwenye bahati sio mwenye kipaji
Sijakuelewa...uje mie sina akili...nilikuwa back bencherNani mwanaume hapa
Umeongea ukweli kabisaaaTafuta mpenzi mmoja, sio lazima awe mweupe na ana tako..
Mkapime kisha fungeni ndoa halali..
Atakua msaidizi wako kiroho na kimwili.
Mithali 6:32 Biblia inasema;Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake, sasa tafakari neno la Mungu huwa halirudi bureKwanini?
Nataka nikubonyeze hizo lako je limeiva au tunalila na chumvi?Kula starehe kufa kwaja,asikutishe mtu yeyote,kikubwa kama una hela itafune
Achana na kitu inaitwa tunda wewe,Kula kadri uwezavyo.
Hata kama unapewa bureNgono ni gharama sana. Itakurudisha nyuma kimaendeleo.
bure ni ghaliHata kama unapewa bure