Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Hisia badala ya facts!
 
Alikuwa na tija kwenye kazi yake ya udereva, hakuna na tija kupanga ma-file ambayo sio kazi yake. Ulaya angetetewa na vyama vya wafanyakazi kupata fidia kubwa tu for nfair dismisal.
Ulaya ipi?
 
Huyu professor unayemeifia hafikii hata robo ya CV ya Beno Ndulu kimataifa kama kweli angekuwa level ya kimataifa asingekuwa busy sana hata muda wa mahojiano ya maralamiko ushwara asingekuwa nao.
 
Huyu professor unayemeifia hafikii hata robo ya CV ya Beno Ndulu kimataifa kama kweli angekuwa level ya kimataifa asingekuwa busy sana hata muda wa mahojiano ya maralamiko ushwara asingekuwa nao.
Wala asingekua na muda wa kwenda mahakamani.

Hana kazi wala hawezi kujiajiri ndio maana analia lia tu kama kondoo anayechinjwa.
 
Huyo Profesa dini gani?
 
Professor ni mtu makini sana na analugha yake ya kufikisha ujumbe ambayo haivunji heshima.

Tz inahitaji akili kama hizi hasa huko ma vyuoni ili kubadili mindset za watu wetu.

Anakazia anasema kuna mgombea mmoja wa uraisi aliulizwa kwanini una gombea na je una mipango gani akasema wacha nichaguliwe mipango itajileta juu kwa juu nikishapata uraisi.

Hapo ndio inaonesha watu hawana vision na plan ya kuisi nayo wapatapo vyeo kutumikia taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…