Garincha II
Senior Member
- Jul 21, 2023
- 185
- 213
Wewe babako yuko wapiBabako marehemu alimtishia akamwambia analindwa na nani wakati yeye ana majeshi yote ya ulinzi na usalama .hivi sasa Yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe babako yuko wapiBabako marehemu alimtishia akamwambia analindwa na nani wakati yeye ana majeshi yote ya ulinzi na usalama .hivi sasa Yuko wapi?
Huna ufahamu na taaluma hiyo... Hao anasoma module i za uhasibu, econimics za kutosha. Tumia mfano mwingineUjuzi gani acha uongo Serikalini huko maafisa maendeo ya jamii wanakusanya mapato hapo Kuna ujuzi gani?
Wewe unajua kupanga files?Kusambaza barua kwa gari sio sawa na kupanga files mkuu.
Hisia badala ya facts!Prof. Assad ni bogus sana anajiona anajua kila kitu na hana busara kabisa nimefanya naye kazi akiwa Mwenyekiti wa Board moja hivi. Alishindwa kuongoza Board hiyo na Taasisi husika ilipata hasara kwa muda wote akiwa Mwenyekiti wa Board hiyo alikuwa anaendekeza rushwa sana.
Ulaya ipi?Alikuwa na tija kwenye kazi yake ya udereva, hakuna na tija kupanga ma-file ambayo sio kazi yake. Ulaya angetetewa na vyama vya wafanyakazi kupata fidia kubwa tu for nfair dismisal.
Huyu professor unayemeifia hafikii hata robo ya CV ya Beno Ndulu kimataifa kama kweli angekuwa level ya kimataifa asingekuwa busy sana hata muda wa mahojiano ya maralamiko ushwara asingekuwa nao.Kuna bodi gani imefanya kazi kwa Mafanikio nchi hii? Ni full ujinga tu.
Huyu prof siyo wa level za vinchi hivi uchwara ndiyo maana alishindwa kuongoza bodi uchwara kwa maagizo na maelekezo uchwara.
Prof. Assad hoyeee!!!!
Prof. Assad Asante kwa kuyashika makende ya jiwe kisawasawa. Ndiyo maana wafuasi wake wanakusakama.
.
Hilo unajuwa wewe tu.Wewe unajua kuliwa??
Lakini ingemwongezea CV huyo derevaTUMIA AKILI HATA KIDOGO. RECORD MANAGEMENT NI PROFESSION, KUTUNZA FILES NI PROFESSION HUCHAGUI MTU YEYOTE AFANYE HIZO KAZI.
Wala asingekua na muda wa kwenda mahakamani.Huyu professor unayemeifia hafikii hata robo ya CV ya Beno Ndulu kimataifa kama kweli angekuwa level ya kimataifa asingekuwa busy sana hata muda wa mahojiano ya maralamiko ushwara asingekuwa nao.
Nimekujibu hilo unajuwa wewe tu.Nimekuuliza wewe unajua kuliwa??
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Swali limekuwa gumu kwako sasa unabwabwabaja na kuhororoja, kirangi rangi.Hilo sio jibu acha kupinga chenga maana hapa nilipo najiandaa kukukula.
Unajua kuliwa??