Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Prof. Assad ni bogus sana anajiona anajua kila kitu na hana busara kabisa nimefanya naye kazi akiwa Mwenyekiti wa Board moja hivi. Alishindwa kuongoza Board hiyo na Taasisi husika ilipata hasara kwa muda wote akiwa Mwenyekiti wa Board hiyo alikuwa anaendekeza rushwa sana.
Hisia badala ya facts!
 
Kuna bodi gani imefanya kazi kwa Mafanikio nchi hii? Ni full ujinga tu.

Huyu prof siyo wa level za vinchi hivi uchwara ndiyo maana alishindwa kuongoza bodi uchwara kwa maagizo na maelekezo uchwara.

Prof. Assad hoyeee!!!!
Prof. Assad Asante kwa kuyashika makende ya jiwe kisawasawa. Ndiyo maana wafuasi wake wanakusakama.


.
Huyu professor unayemeifia hafikii hata robo ya CV ya Beno Ndulu kimataifa kama kweli angekuwa level ya kimataifa asingekuwa busy sana hata muda wa mahojiano ya maralamiko ushwara asingekuwa nao.
 
Huyu professor unayemeifia hafikii hata robo ya CV ya Beno Ndulu kimataifa kama kweli angekuwa level ya kimataifa asingekuwa busy sana hata muda wa mahojiano ya maralamiko ushwara asingekuwa nao.
Wala asingekua na muda wa kwenda mahakamani.

Hana kazi wala hawezi kujiajiri ndio maana analia lia tu kama kondoo anayechinjwa.
 
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,

Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.

Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.

Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.

Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.

Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.

Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??

Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.

Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.

Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.

Such an arrogant and a very useless academician.


View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel

Huyo Profesa dini gani?
 
Professor ni mtu makini sana na analugha yake ya kufikisha ujumbe ambayo haivunji heshima.

Tz inahitaji akili kama hizi hasa huko ma vyuoni ili kubadili mindset za watu wetu.

Anakazia anasema kuna mgombea mmoja wa uraisi aliulizwa kwanini una gombea na je una mipango gani akasema wacha nichaguliwe mipango itajileta juu kwa juu nikishapata uraisi.

Hapo ndio inaonesha watu hawana vision na plan ya kuisi nayo wapatapo vyeo kutumikia taifa
 
Back
Top Bottom