B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Tatizo limeshatokea, huwezi kulizima kwa kuendeleza uhasama ambao hauhusiani.KWa kupokea kwenu hiyo zawadi sisi tuna jipa maswali yafuatayo:-
1. Vipi mtatetea tena haki..?
2. Mtakemea kama mwanzo..?
3. Kwanini mkapokea..?
4. Ukimkataa shetani huwa unamkataa na mambo yake. Kumbukeni hili..?
5. Mtanyamazishwa..?
6. Mtatetea utawala na kuusifia au tuseme mtasujudia ..?
7. Watanzania wanaweza wakapoteza imani na nyie..?
8. Tuna taka kujua kifuatacho kwa. Zawadi hiyo..?
9. Je haki itakua imebakwa tena..?
10. Ongezea
Mods msifute nyuzi za watu
Aah kumbe basi busara zao ziwe chachu ya kuzidi kukemea. Kweli ukubwa dawaTatizo limeshatokea, huwezi kulizima kwa kuendeleza uhasama ambao hauhusiani.
Hiyo fedha imetolewa kama mtego. Inapokelewa kwa busara sana.
Tumefundishwa hiviUna hoja, usikilizwe...
"....Unamkataa shetani na mambo yake yote.....?"
Kweli mkuu asali ina utamu wenye kumteka mtu akajisahau na kujeruhiwa na nyuki mwenye asali yakeAsali haikuwahi kumuacha mtu salama..
Sadaka ya mwovu huwa haipokelewi. Na ikipokelewa ni yakuombewa na yakunuia juu ya yote mabaya yawarudieHiyo pesa ni sadaka haihusiani kabisa na spana
Spana lazima ziendelee
Rupia kwa wa rumi si zipoPENYE UZIA PENYEZA RUPIA walisema wahenga
zipo ila za kutolea jashoRupia kwa wa rumi si zipo
Hizi za kupewa tu zina madhara wazikataezipo ila za kutolea jasho
Rupia yenyewe 20M?? Msichanganye mamboPENYE UZIA PENYEZA RUPIA walisema wahenga
Asali haionjwiAsali haikuwahi kumuacha mtu salama..
20M unaiona ni kuuubwa! Kwa wakatoriki ni sadaka ya siku makanisa mawili pale St. Joseph na Mbezi Mwisho. Tusubiri Kitima aje ndiyo tutajuwa.KWa kupokea kwenu hiyo zawadi sisi tuna jipa maswali yafuatayo:-
1. Vipi mtatetea tena haki..?
2. Mtakemea kama mwanzo..?
3. Kwanini mkapokea..?
4. Ukimkataa shetani huwa unamkataa na mambo yake. Kumbukeni hili..?
5. Mtanyamazishwa..?
6. Mtatetea utawala na kuusifia au tuseme mtasujudia ..?
7. Watanzania wanaweza wakapoteza imani na nyie..?
8. Tuna taka kujua kifuatacho kwa. Zawadi hiyo..?
9. Je haki itakua imebakwa tena..?
10. Ongezea
Mods msifute nyuzi za watu