Nimesikitika na kububujikwa machozi ya hasira kwa hili

Nimesikitika na kububujikwa machozi ya hasira kwa hili

Mleta mada tulia andika vizur habari ieleweke.Tujue kwanza wamepewa kanisa gani na ilikuwa sh ngapi
 
Amini ninawaambia hiyo zawadi imetolewa na namba mbili kwa kujiongeza yeye mwenyewe tu. Kumbukeni licha ya malalamiko na kelele zote zinazopigwa hivi sasa Chura Kiziwi bado anazidi kusonga mbele.
unataka kusema namba mbili kajiongeza mwenyewe kwa kutumia busara na hekima kupoza joto!?
 
20M unaiona ni kuuubwa! Kwa wakatoriki ni sadaka ya siku makanisa mawili pale St. Joseph na Mbezi Mwisho. Tusubiri Kitima aje ndiyo tutajuwa.
Kabisa Mkuu umenena, Mbezi mwisho Jumapili moja ukichanganya na ZAKA haikosi 12M
 
Back
Top Bottom