Izato
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 5,441
- 11,669
Amini ninawaambia hiyo zawadi imetolewa na namba mbili kwa kujiongeza yeye mwenyewe tu. Kumbukeni licha ya malalamiko na kelele zote zinazopigwa hivi sasa Chura Kiziwi bado anazidi kusonga mbele.KWa kupokea kwenu hiyo zawadi sisi tuna jipa maswali yafuatayo:-
1. Vipi mtatetea tena haki..?
2. Mtakemea kama mwanzo..?
3. Kwanini mkapokea..?
4. Ukimkataa shetani huwa unamkataa na mambo yake. Kumbukeni hili..?
5. Mtanyamazishwa..?
6. Mtatetea utawala na kuusifia au tuseme mtasujudia ..?
7. Watanzania wanaweza wakapoteza imani na nyie..?
8. Tuna taka kujua kifuatacho kwa. Zawadi hiyo..?
9. Je haki itakua imebakwa tena..?
10. Ongezea
Mods msifute nyuzi za watu