Nimesikitika na kububujikwa machozi ya hasira kwa hili

Amini ninawaambia hiyo zawadi imetolewa na namba mbili kwa kujiongeza yeye mwenyewe tu. Kumbukeni licha ya malalamiko na kelele zote zinazopigwa hivi sasa Chura Kiziwi bado anazidi kusonga mbele.
 
Ni mtu mjinga tu kama wewe ndiye uliyefikiri Kanisa halipo pamoja na mfumo! Ahahahahaha!!
 
wamuambie amuachie Lissu atolewe korokoroni
 
Zingekuwa Nchi za wastaarabu waliobobea... Hizo PESA zisingepokelewa bali zingetangaziwa kwenda kusaidia watu wasiojiweza... Kutoa PESA na kuinadi ya kusaidia mafuta ya gari ni dhihaka KWA kanisa..
 
Huwa kuna taratibu zake katika kurudisha, kuna moja ilikataliwa huko Kanza ya ziwa sikumbuki ilihusu nini
 
Nani alikwambia kanisa lina ugomvi na serikali?
 
Zingekuwa Nchi za wastaarabu waliobobea... Hizo PESA zisingepokelewa bali zingetangaziwa kwenda kusaidia watu wasiojiweza... Kutoa PESA na kuinadi ya kusaidia mafuta ya gari ni dhihaka KWA kanisa..
Ndio maana nimeuliza. Mkuu hii ni dhihaka na dharau kwa kanisa. Kama vile kanisa halijiwezi
 
Amini ninawaambia hiyo zawadi imetolewa na namba mbili kwa kujiongeza yeye mwenyewe tu. Kumbukeni licha ya malalamiko na kelele zote zinazopigwa hivi sasa Chura Kiziwi bado anazidi kusonga mbele.
Kama kajiongeza why aseme zimetoka kwa mama sa100..? Hatutaki malipo ya Goli la dhuluma
 
Mwashambwa na Tlaahtlaah,wao watabubujikwa kwa machozi ya furaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…