Nimesikitika sana baada ya kuiona Dar kwa mbali: Nashauri Pwani yote iwe DSM

Nimesikitika sana baada ya kuiona Dar kwa mbali: Nashauri Pwani yote iwe DSM

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Katika harakati za hapa na pale nilifanikiwa kuiona DSM kwa mbali aisee ni kajiji kadogo sana. Yaan magorofa vya posta kwanza yanayoonekana ni kama matatu tu, mengine kama ya kkoo yanaonekana ni mrundikano mdogo sana tena kwenye kaeneo kadogo sana.

Badala ya kufuga mapori nashauri jiji hili lifunguliwe mipaka yake. Lije mpaka mlandizi, lipote mzenga, kisarawe yote na rufiji. Litokee chalinze hadi wami kiwangwa badamoyo kote pqwe ni Dar es Salaam.

Kajiji ni kadogo sana kutegemewa na nchi nzima kimaendeleo. Pwani yote iwe dar es Salaam angalau pote pajazwe na magorofa, masoko na vivutio vya kunasa pesa.

Nchi hii ni kubwa sana kuwa na watu milioni tano wamekaa kwenye kaeneo kadogo kama kale.

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom