Mzuka wanajamvi!
Jamaa kwa kifupi simpendi. Kwanza ni mbaguzi, kiherehere, ana madharau, nyodo, majigambo na kujiinua.
Anajiona yeye ni mungumtu.
Tangu jana arudishwe tena kuwa tajiri namba moja duniani nimelia sana. Kwa nini freemason wamemrudisha? Nilikuwa naomba azidi kushuka tu zaidi na zaidi alingane na kina vunja bei huko.
Afrika kusini nchi iliyomleta duniani na kumlea hana hata fadhila nayo. Sasa hivi south Africa hamna umeme mortuary zinanuka balaa kwasababu friji zimezima. Lakini jamaa angalau achangie tu hata dollar billion 10 kusaidia taifa lililomtoa. Amebaki kupambana na wafanyakaz wa twitter na kuchezeachezea hela.
Enzi za kina Bill gates, warren buffet, Carlos slim tulikuwa na amani sana duniani. Hawa walikuwa freemason wastaarabu.
Sijui Freemason wakawaje hadi kutuletea huyu mbwiga Musk?