Nimesikitika sana Elon Musk kuongoza tena kwa utajiri duniani

Tafuta na wewe utajiri man ....
 
Kumbe Musk ni mbwiga? Sasa unamsema hivyo wa nini? Live long mbwiga
 
mwamba.... eeeh! Kwa musk kama ni roho ikutoke tu maana ndo kwanza najichanga kwa hao mabinti wke akiwaweka showroom tu, wa kwanza kumchangia na kumtemea mamilioni na mimi nimo. Na vle watatumia password apo U.T.I ndo bac
 
Ulipata jiuliza wakati anapata hasara hao SA walimsaidia kipi? Umaskini ni kilema kibaya kupita maelezo.
 
Huu uzi ungeandikwa na mwanamke mambo yangekuwa mengi ati tuna wivu na elon coz anatengeneza mdoli wa kubaka ambao hauwaombi wanaume hela . Anyway huyu jamaa ni mpuuzi huwezi kuwa tajiri unawaza kutengeneza vitu ambavyo viko against na nature, bureee
 
Huu uzi ungeandikwa na mwanamke mambo yangekuwa mengi ati tuna wivu na elon coz anatengeneza mdoli wa kubaka ambao hauwaombi wanaume hela . Anyway huyu jamaa ni mpuuzi huwezi kuwa tajiri unawaza kutengeneza vitu ambavyo viko against na nature, bureee
Kila kitu anachotengeneza mwanadamu kiko against nature.
 
Wazazi wako hawajakuleta Duniani, ili kuchukia Wanaume wenzako.

Tutafute pesa tuache makasiriko [emoji1549]
 
Nilidhani anashindana na baba yako hiyo nafasi ya kwanza, kwamba baba yako kashushwa nafasi ya pili.
 
Tatizo umasikini Afrika ni uongozi bora mfano nchi yetu unasikia trn 8 zimeibiwa lakini hakuna mtu anaeguswa unazani kuna tajiri gani atatoa misaada waafrika tumeshindwa kujitawala matatizo yako usilaumu matajiri
 
Afrika kusini au nchi yeyote ya Afrika kwa ujumla si masikini kiasi cha kushindwa kuhifadhi maiti, ila ni matumizi mabaya ya kodi.
Mwenye nazo, anazo tu! Kutetereka, haimaanishi kuwa hatengenezi pesa. Ni sawa na sisi walalahoi, siku nyingine una laki, mara umepiteza na kuishiwa una elfu 3, baada ya muda unarudi kwenye laki tena, ndio maisha, sema yeye yuko juu, wengine yuko kwenye hali tofauti tofauti.
Huna haja ya kulia, bali nawe zisake.
 
Furaha ya maskini ni tajiri kufulia, kufa ama mabaya kumfikia. Yani hapo maskini anafurahiii kichiz hadi njaa inaisha kwa muda hata kama hajala siku tatu.

Tunamuombea tu hata top ten asiwepo.
Ya awamu ya 5, wivu mpaka kwa wananchi wako!! Uongozi ni kipaji!
 
Ukitaka kuwa tajir lazima uwe na tabia hzo

Hata kipindi Bill Gate anaongoza nae alikuwa mafia wa hatari ila alipoanza maswala ya charity ndo akaporomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…